Nimsadieje my Cousin ?

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,785
Wana wa Jamii,
Muda si mrefu Cousin wangu (he) kanifikia akiwa macho pima.
Kisa ni , palikua na kipindi kwenye Tv kinachotaka viewers wake waandike sms kutaja wanamzimikia msanii gani kati ya wasanii waliokua wameshinanishwa
Vigezo walivyopewa viewers ni mvuto , utanashati , haiba ya Super star husika.
Fiancee wa Cousin wangu akawa ni miongoni mwa walio andika sms na kuituma katika Tv hiyo, akiwa ame'fall kwa Willy Smith.
Msg hiyo iliyobaki kwenye sent items ya mdada imefumaniwa na Fiance wake (binamu yangu)
Binamu yangu nae akai'fwrd kwangu , ni kweli inaonesha Fiancee wa Cousin kafa kaoza kwa W. Smithy !
Je ? Wadau uwe She/He ikikutokea mpenzio amemwaga misifa ya kimapenzi kwa Super Star flani utaichukuliaje ?
Majibu yenu ndiyo yatakayonisaidia kutatua sintofahamu ya my Binamu .
Nawasilisha .
 
Watu wengine wanakosa vya kukasirikiana wanaanza kutafutiana sababu.
Sasa kachukia nini? kwamba Will Smith anaweza kuja kumnyanganya mchumba?
Mbona hivyo vigezo vya u-superstar hautoshi kumfanya kua husband material?
Hapo na yeye atasema amemfumania mchumba wake anacheat na Will Smith? lol
 

Mkuu nadhani hii mada umeiweka katika jukwaa liliso lake na ndio maana mpaka hakuna mtu amabye amejitokeza kukusaidia. Nakushauri uipelekea mada hii katika jukwaa la mapenzi, mahusiano na urafiki. Huko utapata msaada mzuri na tatizo lako litatatulika
 

Mwali ! Thanks naiweka hii maneno yako kunako hansard .
 
Keshamchoka mwenzie sasa anamtafutia sababu.
 
members wengne bwana duuu mada za kitoto kabsa. ka ndo ivo wa2 wangeishi kweli.
 
nikuulize wanaishi wapi?hapa bongo?kama ni hapa bongo hata huyo she kama ana mpango wa kwenda USA hawaweza kuwa na Willy Smith.
huyo cousin wako mbona hawezi kuchuja vitu vidogo hivi?
kwani ni wangapi wanampenda beyonce,rihanna n.k na wapo tu-na kwamwe hawatampata-
huyo cousin wako mwambie atulie-maana naamini hata yeye ukimuliza ni mastar gani wa nje anawapenda atakwambia
 
utoto mwingine bwana karaha na kichefuchefu mtindo mmoja...akikua ataacha
 
utoto mwingine bwana karaha na kichefuchefu mtindo mmoja...akikua ataacha

labda anatafuta sababu ya kumpiga chini sasa kagundua bora atumie njia ya sms mkuu ukichukulia juujuu utaona matapishi..
 
Mambo mengne hadi mtu unaona aibu kuelezea watu.
 
Hongera Mwali kuliona hilo

Huyo Bwana antafuta sababu tu, hana lolote

Pia anaonyesha yeye asivyo mwaminifu ndio maana hata sms ya mtu aliye mbali inatumika kuleta ugomvi kati yao

Mwambie Binamu yako AKUE, huo ni Utoto
 
Nadhani sio cousin wako tuu anayehitaji msaada....msaada mkubwa unauhitaji wewe mwenyewe nao ni kuwa "sio kila swali au upuuzi wa kitoto unakimbilia kwa kaka/dada zako kuomba usaidiwe au upewe ushauri"

na ushauri kwa cousini wako ni kuwa "aache kumpekuapekua mpenzi wake wa kike atajakuta anatembea na baba yake ashindwe kumuita mama kisa upekuzi wa simu ya mpenzi wake"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…