GodfreyTajiri
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 1,001
- 704
binti mstaarabu kanizimikia. kanieleza ukweli wa moyo wake
na kwamba anatumaini tunaweza kufunga ndoa. binti ni mrembo
wa haja na anaelekea na wife material. anasema ameniona mimi ni
mtaratibu na mstaarabu. tatizo japokuwa naonekana mtaratibu ukweli
mi ni silencer na muharibifu flani hivi. sioni tatizo kudeal na wajuvi ila
huyu binti mmh. namuonea huruma. nikimtolea nje atajisikia vibaya na nisingependa
kumpa ukweli wangu kwani kwa kufanya hivyo nitakuwa najimaliza mwenyewe.
naomba ushauri nimtolee nje vipi huyu binti bila kumuathiri kisaikologia?
been a long day......pardon me!
unabahati sana kupata Binti wa namna hiyo...
umesema ni mzuri nani wife material..
kwa nini we usibadilike????
maana unaweza mwachia huyo aondoke halafu baadaye ukaja kujuta....
hujampenda,mwambie unataka tu kuwa marafiki...akiwa king'ang'anizi shauri lake....!
Usikilize moyo wako naukiridhia chumbia, lipa dowry, funga ndoa na mtie ndani. moyo ukigoma mshauri atafute mwingine coz no body becomes too late to fall in love!
mmmmhh haya kama hauko tayari usichue any chances usije muumiza bint wa watu bure..naam, huenda ikawa bahti yangu, lakini masikitiko ni kwamba
imekuja mapema kabla sijaamua.
nalo hilo la kubadilika ni neno,sidhani kama
naweza badilika kwa kasi kihivyo kwani sio rahisi
yaani we unapendwa unaleta huku??? chapa hiyo kitu ilale!
we hujampenda usimpotezee muda mtoto wa watu