Nimsaidieje huyu, anataka elimu

Nimsaidieje huyu, anataka elimu

Mimi Fulani

Senior Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
180
Reaction score
121
Habari zenu wana jamvi, kuna mdogo wangu aliishia kidato cha pili kutokana na uhaba wa fedha, sasa mda huu mimi nimejikwamua kidogo nina mshahara japo kuwa ni mdogo ila anataka nimpeleke shule, uwezo wa kumpeleka shule binafsi kwa kweli sina, naombeni ushauri wadau nifanyeje?
 
mpeleke asome kwenye vituo vya tution kwa masomo ya form one na form two then atafanya mtihan wa QT.
 
Back
Top Bottom