Habari zenu wana jamvi, kuna mdogo wangu aliishia kidato cha pili kutokana na uhaba wa fedha, sasa mda huu mimi nimejikwamua kidogo nina mshahara japo kuwa ni mdogo ila anataka nimpeleke shule, uwezo wa kumpeleka shule binafsi kwa kweli sina, naombeni ushauri wadau nifanyeje?