Nimsaidieje huyu?

Change_it

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
279
Reaction score
84
Kuna demu nilisoma naye primary skul,kipindi hicho 2likuwa wote viranja ktk category ya usafi hapo skul, baada ya hapo 2mekutana mkoa flani 2kiwa vyuo tofauti, sasa anadai ananipenda na anaomba nimpe nafasi bt siko tayari na kiukweli sijamfeel kivile. Nifanyeje nisijenikamuumiza?
 
Mbona unataka kujichanganya? mueleze kua uko na mpenzi na huwezi kumsaliti na wala hutaki kundanganya yeye sababu sio vizuri kwake wala kwa mchumba wako.
 
Dah!mkuu hata salamu,au ndo huko maprofs wanawafundsha hvo?
 
Hapo ni mara nataka mara sitaki ndio inayokusumbua, ukichagua moja kati ya hayo na ukalisimamia ipaswavo ndilo jibu haswa unalolitaka. Toa msimamo wako mapema.
 
Ushaniboa, sijui kama kuna m2 ameshakuambia, ila ukweli ni kamba watz /waafrika wanaume mnapenda kutongoza zaidi kuiko kutongozwa. Hii nalithibitisha pale ninapowaona wanaume wanaopata bahati ya kutongozwa wakiwaita hao kina dada eti ni makahaba. Ila tuelewe kuwa mahisia ya mapenzi ni kwa yeyote. Regardless of sex
 
mmmh.bora nigune tu

Ni heri ugune usije ukapatwa na "kisukari" bure. Threads nyingine utafikiri kama vile members wa zamani wanaingia kwa ID mpya kutest zari.
 
Si umwambie tu ukweli haina haja ya
Kupotezeana muda....

Huwezi kumwambia ana kwa ana
M txt, mmpigie simu, hata ka barua
cha muhimu ujumbe ufike....
 
Chagua moja, kusuka ama kunyoa na kisha tekeleza uamuzi wako. Acha uvivu wa kufikiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…