Nimsaidieje?

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83
Kuna rafiki yangu fulani hivi amenilalamikia mara nyingi kwamba kila akijaribu kujielezea kwa 'wadada' anachoambulia ni 'kuchezea za uso na vidochi', Je, wana JF kwani kuna namna gani ya kuongea?? Nimsaidieje huyu jamaa kwani amekata tamaa kabisaaaaaa....
 
kuna mbinu nyingi sana....
labda ungeanza kusema yeye huwa anaongea vipi??
unaweza kuwapata wanawake hata kama hujui kuongea...

kwanza kabisa ni personality yako ikoje.
pili pozi zako ziko vipi...
tatu how strong are u?
na mengine mengi.
 
hope it will help!
 
hujajibu bado...
huyo rafiki yako yuko vipi?
na huzungumza vipi na hao warembo?
 
hujajibu bado...
huyo rafiki yako yuko vipi?
na huzungumza vipi na hao warembo?
yeye aliniambia kwamba anaongeaga 'straight' kwamba amempenda 'muhusika' na angependa wawe 'wapenzi' afu anamuuliza 'muhusika' unalionaje hilo? hapo ndio 'anachukua za uso'
 
yeye aliniambia kwamba anaongeaga 'straight' kwamba amempenda 'muhusika' na angependa wawe 'wapenzi' afu anamuuliza 'muhusika' unalionaje hilo? Hapo ndio 'anachukua za uso'

ha ha ha...
Wanawake hawatongozwi hivyo....

Kwanza ajifunze kupendeza na kutengeneza personality ya kuvutia...
Halafu asiwe direct sana ni bora akimwona mwanamke anayemtaka badala ya kusema nimekupenda bora aseme
nikutoe out weekend
au karibu lunch....
Au twende cinema jumapili....
Vitu kama hivyo....
 
ooooooooh! i seeee! thanks
 
...aache bragging na kuchonga sana, ...'me...me... me..!' ni turn off mojawapo kwa kina dada wenye akili zao timamu!
 
kuna mbinu nyingi sana....
labda ungeanza kusema yeye huwa anaongea vipi??
unaweza kuwapata wanawake hata kama hujui kuongea...

kwanza kabisa ni personality yako ikoje.
pili pozi zako ziko vipi...
tatu how strong are u?
na mengine mengi.

Thanks mkubwa nadhani hizo ni point 5 za muhimu ambazo mwanamke anapenda!!
 
yeye aliniambia kwamba anaongeaga 'straight' kwamba amempenda 'muhusika' na angependa wawe 'wapenzi' afu anamuuliza 'muhusika' unalionaje hilo? hapo ndio 'anachukua za uso'

Mwanamke hawezi kukubali hata siku moja ukimwambia hivyo........Haaa mwanamke ana njia nyingi za kuingiliwa lakini sio hivyo.........Nadhani mwambie afatilie THE BOSS alivyosema hapo juu then kuongea ndio itakuwa rahisi sana kwake
 
Point!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…