Bado nipo nipo
Member
- Nov 19, 2011
- 69
- 11
Vipi wadau wa hapa ndani, leo nimekuja kwenu kuomba msaada juu ya hili. Nina baba yangu ambaye mambo yake yamemwendea kombo sana mwaka huu, haswa kwa swala la kifedha. Na ameniambia anataka kuuza nyumba pamoja na kiwanja alicho nacho ambamo ndiko anakoishi na familia yake ili warudi kijiji walipotoka na kufanya biashara na fedha atakayopata. Je hii itasaidia ama ndio muendelezo wa matatizo endapo biashara itazorota?
Unaomba ushauri ili ukatoe ushauri!
Huna uwezo wa kutoa ushauri, huna ushauri. Hata ukipewa ushauri hapa huwezi kuufikisha ipasavyo na pengine lengo lisitimie.
Cha msingi tafuta washauri wamshauri 'huyo baba'.
Aisee si bora ungenyamaza, kwani amefanya kosa gani kuomba ushauri!!!

Samahani,
Mkuu unaweza kuweka hadharani mazingira ya kijiji chenu. Maana kuna vijiji vingine kwa mtu aliye toka mjini ni kaburi wazi na vingine ni neema tele.
ni moja ya vijiji vilivyopo Kilimanjaro, ila maendeleo yake sii mazuri sana mkuu!
Pia kujua background ya biashara au shughuli alizokuwa anafanya inasaidia kutoa ushauri bora kwa mlengwa, maana inasaidia kujua strong point yake na weakeness zake.
Kurudi kijijini tu ghafla na kuanza kilimo sio rahisi sana kufanikiwa, pia inatokana na majukumu yake kwa familia maana kama anawatu wengi wanamtegemea inakuwa tabu kidogo kufikia malengo.
Kuuza kitu kutokana una matatizo ya fedha sio vizuri mara nyingi watu hupata hasara.
Kwnza zingatia kwamba turnover ya kilimo ni ndogo sana na ya kusua kusua cost zake ni kubwa na output is totally unpredictable....utangoja weee mpaka mazao yaote ndo utazidi ku sanda.....cha msingi think of a simple business yenye turnover kubwa meaning that there should be a good circulation of stock. kwa ushauri wangu kama ana kama million 2....anaweza kufungua vibanda vya chips kama 10 hivi...hiyo biashara inalipa sanaaa kama ukiwa seriousNi biashara ya uuzaji wa nyama.
ni moja ya vijiji vilivyopo Kilimanjaro, ila maendeleo yake sii mazuri sana mkuu!