Nimshaurije mie

halaf sasa kama hy anadai hata ndom hatumii anadai inamuumiza, kinachoudh zaid ni kuwa wameanza new relation ndan ya 4 or 5 days kashagawa k,
yaani wanagawa 'k' utadhani wameachiwa na wenzao kuwashikia!
 
yaan mkuu, bro cjui kashitukia nn coz walikuwa waoane mwaka huu mwez wa 12, ndio wakaachana ghafla then wakarudiana, hv toka warudiane hata mwez haujapita na bro wangu ndio aliyekuwa anamwomba wifi warudiane, ila now kibao kimegeuka ni bro wangu anedai hajajiandaa kuoa kwa sasa na hajui ln atakuwa na uwezo huo, so bint analia, nahc kama bro ameshtukia hyo issue, nadhan kuna mtu kamtonya
Huyo binti hamfai kaka yako. Mwambie tu aachane naye na baadae mwambie kaka yako kuhusu huyo binti kuwa na njemba jingine walipoachana.
 
Ni kwel, mdada home kwao mambo safi, na kwa kweli i hate to admit kuwa hyu bro wangu though hajaniambia yuko na mdada kimaslah zaid
from the look of things, inaonekana binti ana pesa ndefu ndiyo maana anabadilisha mijamaa kama mashati wakati kaka mtu yuko 'apeche alolo' ndiyo maana anamng'ang'ania binti..... i stand to be corrected, though
 
halaf sasa kama hy anadai hata ndom hatumii anadai inamuumiza, kinachoudh zaid ni kuwa wameanza new relation ndan ya 4 or 5 days kashagawa k,

hivi Nambe hujawahi kuwa concerned na ukweli kwamba huyo dada anaweza kumwambukiza bro wako ngoma?
 
Last edited by a moderator:
muunganishie tu mwambie awe nasubira uyo bim dada
 
Ngoja nivae kofia ili nisiogopeshe!!lol!

its not a joke, yaani nikiiona tu nashtuka sana halafu mwili unaoata ganzi, plz kama vp ibadili mkuu, nakosa amani hata kusoma post zako vizuri
 
its not a joke, yaani nikiiona tu nashtuka sana halafu mwili unaoata ganzi, plz kama vp ibadili mkuu, nakosa amani hata kusoma post zako vizuri

Hahahahaha......... ngoja nifanye mpango wa kuibadili coz wewe siyo wa kwanza kunambia hivyo!! nimekua nikiambiwa nikajua its just a joke!! kumbe mnamaanisha?!!
 
that z my biggest concern sweetheart, ndio maana nimeomba ushaur pia, coz najiona live namsalit na pia maisha ya my bro yapo hatarin lakn pia nikimwambia bro, namsalit hy bibie na mapenz yao, ila ndio kama hv nahc bro atakuwa amejua coz anadai hana uwezo wa kuoa kwa sasa na hajui atkuwa nao ln, inaonekana ameamua kuacha kiutu uzima, namshukuru Mungu hy bro yupo Rukwa kikaz yle mdada tupo nae hapa Dar so kwa sasa bado hawajado, balaa ni watakaporeconcile kama itawezekana
mpango wangu ulikuwa ni kumshaur tu bro wakapime kabla ya hawajaanza ku do tena,,,,,,
hivi Nambe hujawahi kuwa concerned na ukweli kwamba huyo dada anaweza kumwambukiza bro wako ngoma?
 
Hahahahaha......... ngoja nifanye mpango wa kuibadili coz wewe siyo wa kwanza kunambia hivyo!! nimekua nikiambiwa nikajua its just a joke!! kumbe mnamaanisha?!!

Oh,nilikuwa nadhani ni mm tu kumbe tupo wengi. aisee utakuwa umetusaidiasana my dia ukiibadili.
 
thanx anne maria, heb nijipange kumkabl bro wangu
kaka unampenda kaka yako,, naomba usikubali muunganiko wao na huyu binti mwisho wa siku atamletea UKIMWI,,, na mzigo na gharama za kumuuguza zitakua juu yenu... FIKIRI CHUKUA HATUA.. nawasilisha
 
Hivi kweli wamdate 44 years au hzi ni hadithi za shigongo
 
4(for) 4(four)
umenipata sasa mkuu
 
4(for) 4(four)
umenipata sasa mkuu
Nimekupata kiongozi, sasa huyo sio mvumilivu na hana mapenzi ya kweli kwa kaka yako aliondoka sasa anamerudi inabidi abaki mpaka hapo bro atakapokuwa tayari.
 
ndugu mtoa mada kwann huyo bidada yeye anataka ndoa ya vodafasta ama , kama mwanaume kisha mwambia basi asubiri akiwa tayari atamwoa tu , anaonekana ametega mabomu mawili wakati mmoja asa kwani swala la kumwambia mzazi kwamba mchuchu mtarajiwa ishu hazijakaa fresh so ndoa inasogezwa mbele lina ugumu gani "EVery woman has go his man " asa yeye hajiamini cjui , mtaka vyote hukosa vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…