Nimshaurije mie

issue ni kuwa cnc last year november walipanga waone mwaka huu mwez wa 12, so mwaka jana mkaka akmpeleka binti kwao wakamfaham, na huyo mkaka nae mwaka huu mwez wa nne akaenda kwa akina mdada wakamfaham so ikabakia issue ya bro wangu awatume wazaz toka arusha waje dar kuanza hzo prrocess zingine,
ila kabla ya kuja wazaz wa bro wangu wakadai ni mpaka binti abadilishe din, wifi akabadl dini so ikabak kaz ya bro wangu kuwaleta wazaz wake Dar, sasa baada ya huku kuachana na kurudiana ndio bro wangu ghafla anadai hana uwezo wa kuoa kwa sasa na hajui atakuwa nao lin, ndio mdada anaona kapotezewa mda..........
 

Ukilikoroga lazima ulinywe nyambafu wewe,inaonekana wewe na huyo wifi yako wote ni machangudoa wekundu,hainhii akilini wifi yako anafanya umalaya wewe unamfichia siri eti kwa kuwa ni rafiki yako,bila kakaako ungemjua huyo? adhabu ni hapa hapa dunian ngoja uchezeke kwanza ndo upate fundisho kwan damu ya kakaako i mikonon mwako.
 
wewe una boyfriend?
 
mdada inabidi mtu atulie sana kuelewa huo mkasa kwani bora ungewapa majina bandia na kueza uhusiano wako na hao. Nahisi hapo ingeeleweka kidogo
 
duh mkaka.
una undugu na lucy-inde...........kudadadeki..lol[
Anyway keep talking, may be someday you'll say something intelligent! ish..........QUOTE=Lutu2;4387925]Ukilikoroga lazima ulinywe nyambafu wewe,inaonekana wewe na huyo wifi yako wote ni machangudoa wekundu,hainhii akilini wifi yako anafanya umalaya wewe unamfichia siri eti kwa kuwa ni rafiki yako,bila kakaako ungemjua huyo? adhabu ni hapa hapa dunian ngoja uchezeke kwanza ndo upate fundisho kwan damu ya kakaako i mikonon mwako.[/QUOTE]
 
pole kwa usumbufu mkaka, mekusoma
mdada inabidi mtu atulie sana kuelewa huo mkasa kwani bora ungewapa majina bandia na kueza uhusiano wako na hao. Nahisi hapo ingeeleweka kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…