Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pima urefu wa kichwa ukianzia paji la uso hadi kisogo, kama ni pafupi =Mburula na pakiwa parefu = jiniasi, au njia rahisi angalia kisogo (sehemu ya nyuma ya kichwa) kama pamechongoka ujue huyo ni mkali(ulishawahi kuona kisogo cha Godwin Gondwe wa itv) vichwa vya type hiyo. Ukiona kisogo kipo flat huyo akili zake hadi ni za kuunga-unga.
ANGALIZO:
Hapa nazungumzia academicians! Zile akili nyingine za kudanganyia mademu, kuvurumisha matusi kwenye majukwaa ya kisiasa, na janja janja nyingine, hizo hazihusiani na maumbile ya vichwa!
hahahhaha bs kama hvyo wachina na wazungu wangekuwa dvlopng nac tungekua dvlpd
Tangu nikiwa mdogo nimekuwa niki-test nadharia hii, nilivutiwa kufanyat hivyo na mdogo wangu aliyekuwa na ka kichwa kama mpira tofauti na ndugu zangu wengine. Shule ya msingi karibia wanafunzi waliokuwa na flat-visogo wote walikuwa na matatitizo ya kujifunza hali kama hiyo niliiona sekondari na hadi hapa kazini mkuu wetu ana kakichwa ka hivyo, katika maongezi aliniambia jinsi alivyopigwa sup chuoni.
Kuna jarida moja nilisoma sikumbuki vizuri jina lake, eti jinsi ile 'misokoto au mikunjo' ya ubongo inavyokuwa mingi ndivyo uwezekano wa ubongo ku-retain information unavyokuwa mkubwa, na ili uwe na mikunjo mingi ni lazima uwe na 'fuvu'
lefu! Ngoja niangalie vichwa vya wajapani na waislaeli.
mkuu google - BRIGHTCHILD.COM au
BRIGHTERCHILD.COM
utapata ufafanuzi wa kitaalam mkuu