Nimtambuaje mtoto mwenye kipaji maalumu?

Kamyamya

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
560
Reaction score
572
Wanajamii wenzangu nisaidieni: nitamtambuaje mtoto mwenye 'IQ' ya juu(geneous) kwa sifa(matendo) yake?
 
Kwa matendo na mazungumzo yake.Yaani,ufanyaji wa kazi zake na uundaji wa sentensi zake anapoongea.Mfano,penye swali unasikia alama ya kuuliza na penye mkato unapagundua.Hakika,mtoto wa aina hiyo ana IQ kubwa
 
Pima urefu wa kichwa ukianzia paji la uso hadi kisogo, kama ni pafupi =Mburula na pakiwa parefu = jiniasi, au njia rahisi angalia kisogo (sehemu ya nyuma ya kichwa) kama pamechongoka ujue huyo ni mkali(ulishawahi kuona kisogo cha Godwin Gondwe wa itv) vichwa vya type hiyo. Ukiona kisogo kipo flat huyo akili zake hadi ni za kuunga-unga.

ANGALIZO:
Hapa nazungumzia academicians! Zile akili nyingine za kudanganyia mademu, kuvurumisha matusi kwenye majukwaa ya kisiasa, na janja janja nyingine, hizo hazihusiani na maumbile ya vichwa!
 
OK. hayo maumbile,vipi kuhusu tabia?
 

hahahaha! Umesababisha nijiguse kisogo changu.
 
hahahhaha bs kama hvyo wachina na wazungu wangekuwa dvlopng nac tungekua dvlpd

Tangu nikiwa mdogo nimekuwa niki-test nadharia hii, nilivutiwa kufanyat hivyo na mdogo wangu aliyekuwa na ka kichwa kama mpira tofauti na ndugu zangu wengine. Shule ya msingi karibia wanafunzi waliokuwa na flat-visogo wote walikuwa na matatitizo ya kujifunza hali kama hiyo niliiona sekondari na hadi hapa kazini mkuu wetu ana kakichwa ka hivyo, katika maongezi aliniambia jinsi alivyopigwa sup chuoni.

Kuna jarida moja nilisoma sikumbuki vizuri jina lake, eti jinsi ile 'misokoto au mikunjo' ya ubongo inavyokuwa mingi ndivyo uwezekano wa ubongo ku-retain information unavyokuwa mkubwa, na ili uwe na mikunjo mingi ni lazima uwe na 'fuvu'
lefu! Ngoja niangalie vichwa vya wajapani na waislaeli.
 
mkuu kuna wale gifted na talented..
Gifted ---akili nyingi kichwani.
*gifted ukimfunza kitu kimeganda..tena ukifanya maskhara kanakufundisha wewe kutokana na somo ulompa
*ni mdadisi na msikivu sana
*anakuwa anajituma binafsi kwenye kutafuta taaluma..kitu hujafundisha kashakitafuta na kukisoma mwenyewe/sio tuition
*mgunduzi na mchunguzi na mbunifu
...........
Talented
*huyu aidha anakipaji cha ziada kwenye michezo na shughuli kadha wa kadha...mfano mpira,kuimba,ufinyanzi, kazi mbalimbali za kiufundi
n:b unaweza ukawa gifted usiwe talented n' vise versa.... Hawa jamaa wanaweza wakawa normal or below normal kwenye other fields... Mfano anaweza akawa kipanga class ila asiwe na kipaji cha mchezo wowote.. (ukiachilia mbali mchezo wa kikubwa).
 
mkuu google - BRIGHTCHILD.COM au
BRIGHTERCHILD.COM
utapata ufafanuzi wa kitaalam mkuu
 

Hii nadharia nimeiskia mara kadhaa. Mara ya mwisho niliisikia ikitumika vituo vya watoto wenye utindio wa ubongo. Kuna ufafanuzi sahihi ulioandikwa na mchangiaji mmoja.
 
IQ equal to M.A/C.A ili kujua ugunies wa mtoto unaangalia matendo anayofanya na umri wake,thn kaa nae kama nusu saa upige nae story uangalie anavyojib na kuhoji baadhi ya vitu.pia ni kweli physical structure ya kichwa inawezakukuonyesha IQ ya mtu sana wale wenye ulemavu wa akili mf.autism,down syndrom n.k
 

haswaaaa
 
Hilo ni somo refu la Kudadavua kwa undani zaidi! maneno za mtaani, sio!
 
Nenda Ilboru, Kilakala, Mzumbe....na shule kama hizo. Naskia huko eti wale wenye vipaji maalum ndo huchaguliwa kwenda :becky::becky:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…