Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
Mwezi uliopita nilikutana na rafiki yangu wa kike wa facebook livena tukapata nae chakula cha mchana. Katika maongezi na kufahamiana zaidi nimetambua kwamba rafiki yangu ni mwananfuziwa chuo kikuu cha Dar es salaam ambaye wazazi wake wako mkoani Mbeya. Alinielezakuwa wazazi wake hawana uwezo na hivyo anategemea msaada wa ndugu wengine ilikumeet gharama za masomo na maisha ya jiji. Hakusita kunieleza kuwa hata sikuhiyo alikuwa ameishiwa na hakujua afanyeje kuhusu mpango mzima kwani ndugu zakewalikuwa hawajamtumia pesa. Well, kwa kuwa siku hiyo nilikuwa nimezichanganiliona si vibaya nikimwachia wekundu wawili akapunguze matatizo yake.
Since then sijaonana na huyo dada zaidi ya kuwasiliana nayekwa simu. Tatizo ni kwamba siku ninapopata sms au simu yake ya kunijulia halinajua fika kwamba baada ya muda mfupi kifuatacho ITV ni kupigwa mzinga. Maraooh, sorry dia naomba nipunguzie kidogo salio, mara samahani kwa kukusumbua leonina hamu ya kula samaki ila sina kitu please nijali kidogo, maraviatu vyangu vimefanyaje sijui I need a new pair, etc.
Ingawa dada huyu ni mrembo wa haja mwenye sura ya kuvutia naumbo la uhakika, sijawaza kuwa na mahusiano ya kimapenzi nae zaidi ya kumtreatkama mdogo wangu. Sasa nimechoshwa na tabia zake maana naona anataka kunifanya ATM machine,kama sio mzazi wake. Nimtoeje maishani mwangu bila kumkwaza? Naona alishazoea ati!