Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
- Thread starter
-
- #21
Unamtreat kama mdogo wako?? mbona yeye anakutreat kama buzi lake, dah sijawahi sikia mwanaume anasema anamtreat mtoto mtanashati na mzuri kimaumbile kama mdogo wake...Safi sana hiyo
Mnajua kuna kitu ambacho mie kinanifanya nishindwe kabisa kuwaelewa wanaume.............wakiombwa msaada (kupigwa mizinga kama wanavyoita) wanalalamika, wasipoombwa wanalalamika kuwa tunajifanya mamiss independent sasa lipi jema?? Mie kuna mmoja nlimsikia akilalamika kuwa mpenziwe anayejifanya yuko buzy na kazi hawezionana kwa sababu hajamgharamia!!! Eti akadai kuwa kama angekuwa ameshamgharamia hata kwa kumsaidia kodi ya nyumba anaamini yule msichana angemheshimu.
Sasaaa........... hebu ngoja niongeze keroro hapa
Mzinga reasonable na at a reasonable pace ni acceptable. Tunacholalamika ni ile kila ukisikia sauti ya mtu au ukimeet nae unagongwa mzinga! Sasa hii inakuwa sio njema maana si kusaidiana maisha bali mmoja anakuwa kupe. Vilevile inategemea huyo anayekupiga mzinga mko nae kivipi.
mmmmmmhhhhh,mara hii?NitakuPM
Mwambie, I've just lost all of my money, na kwa sasa I don't even have enough money to eat :biggrin1:Thanks. Sina malengo yoyote, she is just a friend
ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe hebu mshirikishe na SIR GOD sometimes! mimi kuna kamoja kaliwahikuwa kadenti kangu eti juzi kabla ya pasaka kakanitumia sms kuwa kananipenda sana sana ila kabla ya kuambiwa hivi niliwahi kuwa na maongezi nae ya kawaida na akaniambia yuko ustawi wa jamii ila ada inampiga chenga sana baada ya hapo ndio hizo story za kupendana zilipoanza
Mwambie, I've just lost all of my money, na kwa sasa I don't even have enough money to eat :biggrin1:
Okay nimekuelewa what if anayekupiga mzinga na wewe unamtumia ipasavyo? Kuna thread ya anayelelemika kuwa Boyfriend wake kila wakikutana anadai mikasi.na anatimiziwa sasa huyu naye akiwa anapigwa mzinga kila wakikutana atalalamika kuwa huyu demu mizinga??
aisee nawaogopa wadada wa sampuli hizo...hata sijui umtoe vipi...maana mm nawapitia mbali...sitaki iyo zahama!..
Teh teh! Bagah umejiwekea antivirus nini?