Nimtoeje maishani mwangu?

Ila binadamu tuna matatizo! Unamsaidia mtu huku roho inakuuma matokeo yake unalalamika pembeni. Msaidie mtu pale unapoweza, usijilazimishe. Kama hauna mwambie ukweli maana si wajibu wako wewe wa kumsaidia matatizo yake.
 
Naomba jero
 
Ni kweli Husninyo, binadamu tuna matatizo! Ukisaidiwa mara moja, mbili ndo ujenge kibanda? Kama nimejitolea kukusaidia wala siwezi kunungunika, lakini ukiamua kuabuse kuwepo kwangu maishani kwako kwa kuhamishia shida zako zote zangu eti kwa kuwa nimekubali kukusaidia mara moja au mbili si njema.
 
Labda nimuulize yeye hayo maswali yatanisaiadia kufanya maamuzi
 
kwani huwa anakulazimisha umsaidie? Bado una hiyari ya kumsaidia au lah na badala ya kuumia roho ni bora umwambie kama huna uwezo/ haupo tayari kumsaidi.
 
pole kaka.
mi mwenyewe nishakutana na dada mmoja wa dizani hiyo(but kwa sasa ni mwl. wa secondary mtwara)
Ilikuwa hivi; kila akinibeep au akicall anatangaza shida e.g kuku wa mamayake wamekosa dawa, so nimsaidie ela ili aweze
kununuwa dawa ili wasife, or recharge me, e.t.c)
kilicho nikera akibeep tu ana tangaza shida na kibaya zaidi akibeep nikicall ata salamu inamshinda analuka kwenye shida zake.
wanakele kinoma.
 
kumsadia dada ambaye si-nduyako ni sawa na kunywa sumu. Nibora uwasadia yatima na wazee kuliko watoto(dada/mabinti) wa chuo kikuu.
 
nibora uwasaidie yatima na wazee utapata baraka kuliko kuwasadia vi-binti vya chuo ni nyoka
 
kwani huwa anakulazimisha umsaidie? Bado una hiyari ya kumsaidia au lah na badala ya kuumia roho ni bora umwambie kama huna uwezo/ haupo tayari kumsaidi.

Pamoja na hayo, ni vizuri kupata experience za watu wengine. Huenda wengi wakanufaika, na baadhi wakaacha kulalamika kama ulivyosema....
 
Huyo sasa alizidi. Mzee mpaka ulikuwa unahudumia mifugo ya home?
 
Pole sana kaka. Weka no yake kwa blacklst, au akikupga mzinga mfano,v2 vmeniishia,mwambie ata vyangu pia,akpga oh cna vocha,mwambie dah me mwnyew cjuw ntapata wap..atakoma
 
Astaghafirullah! Mpaka kiti moto? Teh teh! Uzuri mwenzangu ulikuwa unabadua taratibu I guess......
 
Pole sana kaka. Weka no yake kwa blacklst, au akikupga mzinga mfano,v2 vmeniishia,mwambie ata vyangu pia,akpga oh cna vocha,mwambie dah me mwnyew cjuw ntapata wap..atakoma

nimesha mtema, kwa sasa ni mwl. mtwara. kibaya zaidi nimepiga nae photo kibao natamani ni zifute kwenye laptop yangu. kama utataka sim no. yake ni pm nitakupa.....................yeye anapenda vituvya bule kwasana na kitimoto kwa sana unakula mzigo bila shaka.

hivi wako wapi mabinti ambao ni independent, ambao kwao urafiki ni kupeana company, kusaidiana inapobidi (both ways), wako tayari kushare bills, na ambao si kila ukiona sura yake, akikupigia simu au aki-text tu tegemea shida lukuki na mizinga ya kufa mtu... where are such good gals so that they can stand up to be counted.....
 
... akikupga mzinga mfano,v2 vmeniishia,mwambie ata vyangu pia,akpga oh cna vocha,mwambie dah me mwnyew cjuw ntapata wap..atakoma

mtu anaamua kumiliki simu but hawezi ku-meet operational costs, kila wakati anatafuta wapi abomu vocha mpaka inageuka kama salaam sasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…