Nimtoeje maishani mwangu?

ki ukweli,tabia ya kuomba omba sio nzuri.watu wengine hata aibu hawana.na kila anejiuza sio lazima akae barabarani.kama huyo binti,maneno gani hayo ya kusema.ina maana huwa hawafunzwi makwao au mradi na wao waonekane wanaenda na wakati?
 
duh pole yao wazaz coz kuna wadada vyuoni ni machangu kabisa, mh napataga shida sometimes na haka kajina ka wasomi coz wengi wao ndio wanafanya madudu
 
mweleze kistaarab tu kuwa hiyo tabia huipendi na inkukera kama ana akili atakuelewa na atakimbi mwenyewe kama vp, bora umblock, na sim zake potezea, bongo hii kuna watu hawana aibu hasa hawa wadada wa vyuoni na tatzo ni kuwa wanataka maisha flan ambayo yapo juu ya uwezo wao, na hawatak kukubal hlo, mpoteze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…