Kuna njia nyingi za kutatua matatizo ila kwngu mimi nakupa hizi tatu..
1.kukimbia tatizo na linawezekana tu na wengi wamefanikiwa.
2.kupambana na tatuizo na wengi wamefanikiwa pia.
3.kunyamaza kimya ina tatizo litapita lenyewe na mimi huwa naitumia hii
maana huwa sipotezi nguvu zangu kwa wingi
njia hizi ni bora na pia zina madhara kama hujasoma mazingira tofautitofauti
ya kuzitumia na usikurupuke tu inahitaji utulivu.