Mshkaji wa kwanza aliachana nae kwasababu ya uzulumishi, wa pili kwasababu ya totoz basi na wewe muonyeshe kwamba una totoz ataachana na wewe unless unaishi kama paroko lazima akusumbue. Tafuta totoz wa kutosha wa kutesa nao hata kwa mwezi na yeye umualike ili aone lazima ataondoka hiyo ndio shortcut way.
Wee nae inaelekea unamzimia kimtindo... Sasa mwambie moja kwa moja kwamba hutaki hizo biashara anazokuletea kwani wewe sio mnunuzi...! Unaogopa nini Kaka??
siwakandii hao jamaa ila naongea vitu ambavyo nina uhakika navyo na hizo ndizo sababu zilizomfanya binti aachane na hao washikaji
Haahaaaa hapa umenena, lakini inatakiwa staha iwepo, kama kuna moja ametuma asubuhi anaonyesha tumbo lake na amevaa bra tu
siishi kama paroko lifestyle yangu ni simple kabisa kama girlfriend wangu akiwa free huwa nazuga nae sana tu na hata nikikaa nae watu wote hujua tu yule ni girlfriend wangu hata yeye anajua
weka namba yake ya simu hapa
wasamaria wema wakusaidie kuondoa 'kero' hiyo
nina Girlfriend tu bado sijaoa, nitayafanyia kazi maneno yako...
unalo la kunishauri mkuu? au huna?
hahaaa, siwezi kujihami kihivyo mkuu maana anajua kabisa mimi Girlfriend yuko mbali na mimi ninachotaka nitafute njia nzuri a kumkwepa,