Manyanza acha kulea kidonda hicho.....kwani kuna ubaya gani ukimwambia tu kuwa unashukuru kwa picha ila huzifurahii hivyo utafurahi sana kama atakuwa anakusalimu bila kukutumia hizo picha......mwambie bana kama kweli hufurahii.....huko kunyamaza ndiko kunafanya azidi kukutumia manake anahisi labda zinakufurahisha!
akituma tu hizo picha zake nimfyatukia bila kumshelewesha
hahaaa, siwezi kujihami kihivyo mkuu maana anajua kabisa mimi Girlfriend yuko mbali na mimi ninachotaka nitafute njia nzuri a kumkwepa,
Manyanza 16:15 Today :
Te te teeh..! Ama kweeli kwenye miti
hakuna wajenzi. Nipe number yake coz
nipo single. Nitumie kwenye 0657 511 117
By Kifarutz
serious? na akikuuliza utamwambiaje? mimi
nataka tu asiendelee kunisumbua
haha sasa nimeamin ww unampenda unataka tu ku-justify infidelity tu hapa. maana watu wanaomba namba wakusaidie ilo tatizo we unakua kama unasuasua flan iv. toa namba iyo.watu washughulike nae! wamuweke busy
hua mimi si mjibu akinitmia kwenye WhatsApp hizo picha zake huwa namjibu text sms ya kawaida tu, mimi nimelileta hapa ili nipate solution ya hili jambo nimkwepe vipi?
Haahaaaa hapa umenena, lakini inatakiwa staha iwepo, kama kuna moja ametuma asubuhi anaonyesha tumbo lake na amevaa bra tu
Wakuu... habari zenu
kuna msichana mmoja hivi kwa nyakati tofauti alishawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na washikaji zangu wa karibu na aliachana nao kwa sababu ambazo hakuna msichana anayeweza kuzivumiliana...
mshikaji wa kwanza aliachana nae kwa sababu mshikaji alikuwa ni mtu wa misheni town, ana tabia za udalali na kudhulumu watu vitu vyao nikawamo mimi alishawahi kunidhulumu pesa zangu na Ipod yangu, hivyo msichana akaamua kuachana na mshikaji...
mshikaji wa pili alikua ni mtu wa totozi sana kwa hiyo demu uvumilivu ukamshinda wakaachana na mshikaji...
sasa cha kushangaza huyu msichana ameanzisha tabia moja ya ajabu yaani anakua anajipiga picha halafu anazituma kwenye email yangu au kwenye application ya WhatsApp kwenye simu tangu kwa siku anaweza kutuma hata picha tano kwa njia ya WhatsApp tena picha ambazo ni tata, ameshaanza kunitumia picha mapaja yapo nje kabisa, tumbo lipo wazi na wakati mwingine anapiga picha akiwa amevaa bikini tu na bra.... halafu anaandika maneno machache kama mambo vipi? hello, how is it? good night... anandika maneno ya kawaida tu lakini hizo picha anazonitumia ni utata mtupu.... na mimi sifurahii haa kidogo....
nifanyeje? na sitaki kumtolea maneno ya maudhi au kumtukana naomba mnipe mbinu za kumkwepa kiustaarabu
Pamoja wakuu...
Yeah, I am very seriousserious? na akikuuliza utamwambiaje? mimi nataka tu asiendelee kunisumbua