mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
Nimetoka mkoa a kwenda b baada ya kukaa geust miez miwili nikaona isiwe kesi ngoja nitafute dalali anitafutie chumba, chumba kikapatikana ila hiyo nyumba anaishi binti pekee, nyumba ina vyumba vi tano basi mi nikalipia vitatu kwa siku ya kwanza naingia nilivyomwona hata sikuwa na shobo nae hata salamu sikumpa siku ya pili baada ya kumtazama nikagundua anafaa kuliwa nikaanza mitego ya kiume dah sijui mama mwenye nyumba katokea wap kaanza kujibebisha mara aingie chumban kwangu mara aniletee chakula wakuu kunakumla binti kweli? hapa na sio mtoto wake ni mpangaji mwenzangu