Nimuoe yupi kati ya huyu mwenye degree na darasa la saba

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
2,930
Reaction score
3,305
Hi JF members,

Mimi ni mvulana nipo mwaka wa mwisho moja ya vyuo vikuu hapa Tz. Nilipokuwa 4m 5 na 6 nilikuwa na mchumba ambaye nilimpenda sana naye alinipenda. Nilipokuwa chuo mwaka wa kwanza akapewa udaku naye akaamua kunipotezea

Basi nikamtongoza binti tuliyekuwa naye mwaka wa kwanza, japo huyu nililenga awe kuenjoy naye siku moja na kumuacha maana sikumpenda sana, ila baada ya ku do naye alinipenda ile mbaya na kuanza kuniganda kila ninapoenda.

Kuona hvyo nikamtumia sms ya kumkataa pia hakusikia, nikampiga hadi kumuumiza pia hakuniacha. Ok nikaamua kuzuga naye maana nilichoka kutoa adhabu, baada ya hapo tukawa tunaishi km lovers kwa sababu yeye ananipenda sana hata hela zake ziko kwenye account yangu na tumenunua naye vitu vingi vya ndani mfn tv, kitanda, kabati, computer, nk.

Pia hutumia mzazi wangu hela zake japo hajawahi kumuona. Wakati huo huo yule binti wa darasa la 7 naye aliniomba msamaha nikamsameha pia anasubiri nimuoe. Je nimuoe yupi kati ya hawa? nifaje ili roho yangu impende huyu wa chuo? plş
 
Una dhamb ndg yng! Utakuwaje na m2 ucyekuw na malengo nae? Mwogope mungu. Maamuz unayo ww mwnyewe! Epuka kumptezea m2 mda wake!
 
Muhimu ni mapenzi..shule si kitu..shule ni yakwake na mapenzi ni yako..
:smash:
 
Wiseboy, wewe ndio unawajua hao wanawake...unapotafuta mtu wa kuishi kindoa kuna mambo mengi ya kuangalia mfano upendo wa dhati, utii, kumcha Mungu, kupenda ndugu,mvumilivu, kujishughulisha kimaendeleo, kusaidiana kimajukumu, kujali n.k.. Pia weakness zao unazijua, je utazi-accomodate?

Kama huyo wa darasa la 7 anaweza kuendea kielimu na una mpenda inawezekana kumuoa vilevile huyo wa chuo unaemsema unaweza kumuoa. Yote haya ni maamuzi yako kwa vile unawafahamu kiundani na vizuri sana.
 
Chaguo ni lako je huyo wa darasa la saba ukimuoa utamuendeleza?
 
Nasikitika kuwa jina lako haliendani na matendo yako,kama humtaki mtu ndo umpige!!kwani ungemwambia kwa ustaarabu asingekuelewa!?!naamini kati ya hao wawili una majibu ya yupi unaemuhitaji,nikipima maelezo yako std 7 unamfeel zaidi,,gudluck but u need to change uwe gentleman
 
Digrii yake si kitu, usiingie mkenge wa kufuata digrii tii kiu yako kwa unaempenda
 

asante dada kwa ushauri wako, huyu dada wa chuo ni mvumilivu sana, ni mcha mungu, anapenda ndg zangu ndo huwa anawatumia chumvi. Kwa kifupi wa drs la 7 anamzidi huyu uzuri kisura hicho pekee ndo kigezo
 

Kaka, ridhika na ULIYE NAYE, anayekupenda kwa DHATI, kwani alikuvumilia hata pale ulipomwambia HUMTAKI. Ulimpiga, akakuganda. Moyo wake uko kwako. Huyo wa Darasa la Saba ni KIGEUGEU! Si alikuacha kwa sababu kasikia maneno ya watu? Sasa kakuona mtu wa maana, una wako ndani, wivu umemwingia, anataka KUKUHARIBIA! Muda wote huo hamjakuwa pamoja, hujui pengine AMEUKWAA? Ukimgusa atakuambia mwende PEKU PEKU, kumbe anataka KUKUINGIZA KWENYE GRIDI! UMEME KAKA! Ogopa!

Ushauri wangu, huyo uliyenaye, mmesoma wote, hata ukipata tatizo, kwa mfano, ukaumia, ukapata ulemavu, ataweza kukutunza. Huyo wa Darasa la Saba ana ELIMU GANI ya kukutunza wewe? Fikiria na ya baadaye, si ya LEO tu! Umenielewa mdogo wangu?
 
na ukumbuke uzur wa mke co sura ndg yng! Dunia ya leo hakn kuangalia sura coz hta kw wachna zpo zmejaa! Mwoe huyo ulye2tajia cfa zake!
asante dada kwa ushauri wako, huyu dada wa chuo ni mvumilivu sana, ni mcha mungu, anapenda ndg zangu ndo huwa anawatumia chumvi. Kwa kifupi wa drs la 7 anamzidi huyu uzuri kisura hicho pekee ndo kigezo
 

nakupata my lvly brother. Asante.
 
 
asante dada kwa ushauri wako, huyu dada wa chuo ni mvumilivu sana, ni mcha mungu, anapenda ndg zangu ndo huwa anawatumia chumvi. Kwa kifupi wa drs la 7 anamzidi huyu uzuri kisura hicho pekee ndo kigezo

ushantia khasira

we wala siyo waiz hata kidogo, hebu badili ID hukoo, mxxxxiii!
 
Chagua unayempenda. Kumuoa mtu ambaye hayupo moyoni ni mateso kwako na kwake pia.
 
 
Huyo wa la 7 hakufai ameonyesha ubabaishaji, huyo uliyenaye ndiye mke wakweli anajali na anauvumilivu hizo ndiozo point .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…