WiseLady + Wiseboy =:A S-heart-2:😛eace:naskitika kuwa jina lako haliendani na matendo yako,kama humtaki mtu ndo umpige!!kwani ungemwambia kwa ustaarabu asingekuelewa!?!naamini kati ya hao wawili una majibu ya yupi unaemuhitaji,nikipima maelezo yako std 7 unamfeel zaidi,,gudluck but u need to change uwe gentleman
mmh!ndo wale wale wanaopenda miteremko..hela yake unaipeeeda ee
sasa ndo unakuja kuomba ushauri wa kuoa
mxiii afu unatuhadithi jinsi ulivyompiga na kumuadhibu
mxiiii..ballax
hivi umewahi kupenda wewe?hata robo?
ngoja niishie hapa nisije vunja keyboard
Kaka, ridhika na ULIYE NAYE, anayekupenda kwa DHATI, kwani alikuvumilia hata pale ulipomwambia HUMTAKI. Ulimpiga, akakuganda. Moyo wake uko kwako. Huyo wa Darasa la Saba ni KIGEUGEU! Si alikuacha kwa sababu kasikia maneno ya watu? Sasa kakuona mtu wa maana, una wako ndani, wivu umemwingia, anataka KUKUHARIBIA! Muda wote huo hamjakuwa pamoja, hujui pengine AMEUKWAA? Ukimgusa atakuambia mwende PEKU PEKU, kumbe anataka KUKUINGIZA KWENYE GRIDI! UMEME KAKA! Ogopa!
Ushauri wangu, huyo uliyenaye, mmesoma wote, hata ukipata tatizo, kwa mfano, ukaumia, ukapata ulemavu, ataweza kukutunza. Huyo wa Darasa la Saba ana ELIMU GANI ya kukutunza wewe? Fikiria na ya baadaye, si ya LEO tu! Umenielewa mdogo wangu?
hi jf members, mm ni mvulana nipo mwaka wa mwisho moja ya vyuo vikuu hapa Tz. Nilipokuwa 4m 5 na 6 nilikuwa na mchumba ambaye nilimpenda sana naye alinipenda. Nilipokuwa chuo mwaka wa kwnza akapewa udaku naye akaamua kunipotezea, basi nikamtongoza binti tuliyekuwa naye mwaka wa kwanza, japo huyu nililenga awe kuenjoy naye siku moja na kumuacha maana sikumpenda sana, ila baada ya ku do naye alinipenda ile mbaya na kuanza kuniganda kila ninapoenda. Kuona hvyo nikamtumia sms ya kumkataa pia hakusikia, nikampiga hadi kumuumiza pia hakuniacha. Ok nikaamua kuzuga naye maana nilichoka kutoa adhabu, baada ya hapo tukawa tunaishi km lovers kwa sababu yeye ananipenda sana hata hela zake ziko kwenye account yangu na tumenunua naye vitu vingi vya ndani mfn tv, kitanda, kabati, computer, nk. Pia hutumia mzazi wangu hela zake japo hajawahi kumuona. Wakati huo huo yule binti wa darasa la 7 naye aliniomba msamaha nikamsameha pia anasubiri nimuoe. Je nimuoe yupi kati ya hawa? nifaje ili roho yangu impende huyu wa chuo? plş
asante dada kwa ushauri wako, huyu dada wa chuo ni mvumilivu sana, ni mcha mungu, anapenda ndg zangu ndo huwa anawatumia chumvi. Kwa kifupi wa drs la 7 anamzidi huyu uzuri kisura hicho pekee ndo kigezo
Nashukuru kwa michango yenu mbalimbali, nimezipenda zote positive na negative contribution zilizoelekezwa kwangu! kusema ukweli nimefunzwa kitu hapa na kimenisaidia sana kwani my love graph has increased to da one i have and i feel now comfortable. Asanteni sana na endeleeni kusaidia wengine kwa moyo mmoja.