Nimuoe yupi kati ya watatu hawa?

mnh waoe wote watatu,si ndio wanaprovide kila kitu?
 
Wewe bado unasoma na huyo wa daploma bado yupo shula wengne achana nao utawapotezea muda mabinti bure.acha ulaghai kijana
 
We oa wote watatu, kwani tatizo nini? Mbona Mswati ana wake karibu kumi na anadunda tu.

Nimegundua siku za mwisho wa wiki sio nzuri sana kuomba ushauri maana watu wanakuwa wamechoka halafu wanakuwa na hasira sana!
 
yaani umeingia humu uchaguliwe mke au iyo nayo ni kama kampuni inayohitaji shareholders.
 
Unakopa, unajikopa bila kujua. Hivyo v2 wanavyokuhonga hao wadada ipo ck utakuja kuvilipa either direct or indirect! Uwe kakini
 

marudio kwa ID mpya au copy from forwarded chain of mails
 
Mkuu hapa hakuna anaekufaa, kaoe bank mana unapenda pesa wewe!
 
Mwenye matatizo ni wewe! Utakataje (booking) tickets katika ma'bus ma3 tofauti kwa safari na wakati mmoja? Kisha ubabaike bus la kupanda? Huoni huo ni mzaha au comedy flani?
 
usipende pesa penda mtu oa unayempenda zaidi ya wengine tena fanya haraka sana wajipange
 
Kama unataka kuoa si uende Moshi ujue mbovu na mbichi. Achana na hao katafute upareni au Machame uone huo ujinga wako kama hautakuishia. Unataka kula vya wenzio siyo. Kaoe huko nilikokwambia uone watakavyokuletea ma-uncle kila siku usijue kumbe washikaji zao.
 
unapenda kuhongwa eh? mwingine anaeza asikupe kitu na bado akawa ndo mwenye mapenzi ya dhati.. true love ndo inamatter who do u think u can stand spend the rest of ur lif with
 


Kwanza, maelezo uliyoyatoa hayaonyeshi kama kuna upendo wa kweli kati yako na hao wachumba zaidi ya wao kukusaidia kifedha...kwa maana nyingine upedo haupimwi na fedha. Pili, inawezekana vipi ukawa na wachumba watatu kwa wakati mmoja...samahani nadhani bado hujawa tayari kuoa.
 
Hi everyone.

Mimi ni mgeni humu javini naomba kuchangia hii mada.

Kifupi acha kuwapotezea muda hao kinadada. Wewe si muoaji. ungekuwa muoaji muda mrefu ungekuwa umefanya maamuzi wa yule ambaye ulianza naye. kwanza unasema unawanawake 3 uliwapata kwa pamoja au kwa nyakati tofauti? nimekuona bonge la **** kwa kuchezea feeling za watu. mwanamke akisema anawanaume watatu mnasema mhuni. vip kuhusu wewe tukuiteje ilihali bado mwanafuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…