Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 689
- 3,373
Nikiwa advance, nilikua na mahusiano na dada wa form 4, nikiri alinipenda, ila mimi sikuchukulia serious mahusiano haya, na mwisho wa siku nilimwambia tuachane kwa sababu ambazo hazikua na msingi.
Tukiwa alikua ananitafuta kwa simu akilia sana, alilia kama wiki hizi kila akinipigia najibu ninavyojisikia, mara ya mwisho aliniambia tu " sawa na wewe utakuja kuteswa kama unavyonitesa"
Manaeno haya yamekua yakijirudia akilini mwangu kutokana na misukosuko ninayokutana nayo katika mahusiano,
Mpaka sasa baada ya kuachana nae, nimekua mtu wa kupigwa matukio tu na wanawake, wengine hata huwezi kudhani kama angekuja kua hivyo anavyofanya.
Hapa ninapoandika pia nimetendwa, nafikiria labda nimuombe msamaha yule dada? Au ni fanyeje?
Unaweza ukasema "tafuta hela" lakini ukweli ni kwamba hao wanawake wote walionitenda sio kwamba wako above ya level yangu, na wengi nimewasaidia mambo mengi sana, wengine had backup ya mambo ya elimu na hata msaada kwa ndugi zao,
Nakosea wapi?