Yaani wewe,uwezi kuzungumza au kushauri bila ya kuingiza suala la express yourself,inayokupa zaidi.Utadhani umelogezewa.
Wadau wa JF
Nawashukuru sana kwa ushauri wenu , na kweli hapa ni kituo cha kupata majawabu . Pasipo na taarifa na ushauri kweli maaangamivu ni dhahiri. Kwa hilo Bravo saana.
Kuhusina na mada ya Kama ungekuwa wewe ungefanyeje Nimefanya uchunguzi wangu kulingana na maoni mabalimbalai ya wana JF na nimegundua kuwa mwenzi wangu sio mwaminifu . Nimechunguza sana na kugundua kuna watu bado wanmmega na nikimwambia anakataa. Nampenda sana. Nimejaribu kivyangu kumuacha lakini inashindikana , kwani haipiti dk 5 sijamwaza , na nikimuwaza naumia sana roho yangu na nakumbuka siku niliyokutana naye ya kwanza. Naumia sana roho inaruka tu kila mara na hata tu nikisikia sauti yake . Mwishowe najiuliza au kanitendea nini huyu bibi.
Kwa hali iliyopo ya sasa mie niemechunguza afya yangu iko saafi , pamoja na kukaa naye kwa muda mrefu ya uchumba. Baada ya kugundua hayo nikimwambia akachunguze afya yake hataki anasema ataenda akipenda yeye na sio kwa kulazimishwa. Nikisikia tu sauti yake nashindwa hata kuconcetrate kitu chochote.
Je ni njia gani niiitume ili niweze kumwacha na kutokuendelea kuumia kiasi hiki?
Je katika wachangiaji kuna yeyote aliyekutana na dhoruba hii na kama yupo katika depth ipi ya mapenzi aliyokuwa nayo, na je alitumia njia gani kuweza kuondokana na hii adha?
Kwa nini siku zote mtu unayetokea kumpenda kwa moyo wako wote inakuwa kinyume kwake yeye anakuwa hayupo kabisaaaaaa anakupenda basi tuu lakini sio zaidi yako wewe unavyo mpenda wewe.
au teseme angekuwa amekufungisha ndoa halafu akaanza kufanya uchuro huo si ungechanganyikiwa kabisa? kwani kama wewe ni mkristo uliyekuwa kiimani unajua ndoa havunjiki. sasa je angekufikisha halafu akaanza hayo hapo ungefanya nini.mshukuru Mungu. wanawake ni wengi sana. utakuta mmoja ambaye ni mwema mara saba ya huyo na mzuri wa umbo tena mpole .utakuwa ukitokwa machozi ukikumbuka ulikotoka na kumshukuru Mungu kila siku.
tena jichunge sana siku hizi kuna ndoa za mitego. hasa wanawake ndo wanaozitega. anakulengesha ndoa ya serikali halafu anakufanyia unyama. kutoka sio rahisi.
1. Mkuu punguza speed ya kuwasiliana nae.
2. Mtishie kumla tiGo kama hujawahi zungumzia au mwambie mi sasa basi hata tiGo hujawahi nipa.
3. Kama ulikuwa unamtoa toa out kiana kata kabisa out zote.
4. Tafuta kifaa/toto i/kingine kinacho mzidi huyo umbile,sura n.k
5. Kama ulikuwa unamlea lea kumtumia vocha na pesa kidogo kila week end kata huduma hizo.
6. Mchimbe mkwala au akitaka kuja kwako getto mkwepe unaweza ukamwambia upo mbali n.k
7. Akizima fegi mpe ukweli sasa kuwa wewe na yeye basi aendelee na mapedeshee.
Hiyo shari nzima ikoje?"Heri nusu shari kuliko shari nzima"
ikitokea akakubali kumpa hiyo tigo bila wasiwasi na jamaa alikuwa anamtishia tu? atafanyaje mpe na plan B, ila kutafuta mwingine siyo wakati wake atulize kwanza akili ndo atapata wa kumfaa.
Kheeee heeeee heeeee..Eeh! Na'amu!Plan B ni kumla TIGO mpaka kunakucha.
piga chini hiyo kitu mtu wangu itakuchoresha bure. Umegundua ni kumshukuru mungu je ungeoa. Halafu anaonekana hata nidhamu kwako hana kwa majibu anayokupa unapomta mkapime. Halafu mwanangu mwanamke ukimuonyesha kumpenda kupita kiasi kuna wengine hawajui kupendwa ukimpenda anakuona **** tena.wadau wa jf
nawashukuru sana kwa ushauri wenu , na kweli hapa ni kituo cha kupata majawabu . Pasipo na taarifa na ushauri kweli maaangamivu ni dhahiri. Kwa hilo bravo saana.
Kuhusina na mada ya kama ungekuwa wewe ungefanyeje nimefanya uchunguzi wangu kulingana na maoni mabalimbalai ya wana jf na nimegundua kuwa mwenzi wangu sio mwaminifu . Nimechunguza sana na kugundua kuna watu bado wanmmega na nikimwambia anakataa. Nampenda sana. Nimejaribu kivyangu kumuacha lakini inashindikana , kwani haipiti dk 5 sijamwaza , na nikimuwaza naumia sana roho yangu na nakumbuka siku niliyokutana naye ya kwanza. Naumia sana roho inaruka tu kila mara na hata tu nikisikia sauti yake . Mwishowe najiuliza au kanitendea nini huyu bibi.
Kwa hali iliyopo ya sasa mie niemechunguza afya yangu iko saafi , pamoja na kukaa naye kwa muda mrefu ya uchumba. Baada ya kugundua hayo nikimwambia akachunguze afya yake hataki anasema ataenda akipenda yeye na sio kwa kulazimishwa. Nikisikia tu sauti yake nashindwa hata kuconcetrate kitu chochote.
Je ni njia gani niiitume ili niweze kumwacha na kutokuendelea kuumia kiasi hiki?
Je katika wachangiaji kuna yeyote aliyekutana na dhoruba hii na kama yupo katika depth ipi ya mapenzi aliyokuwa nayo, na je alitumia njia gani kuweza kuondokana na hii adha?