Nimwacheje msaada pls..

Ukweli utakuweka huru,the more you hold her,that mpo pamoja,kumbe ushampenda mwingine ni vibaya,mwambie,ataumia,atapona,kuliko at the last days ndo umwambie,anza taratibu mpaka ufikie muafaka wa kumwambia.

The more unavyompa matumaini unampenda,it's bad.

Remember the TRUTH WILL SET YOU FREE.
 
...jipe miaka mingine miwili na miezi minne utagundua yule wa mwanzo amekidhi "viwango" vyote,
la sivyo,...utajikuta unatafuta wa tatu!...

inshort, hakuna kiwango kinachojitosheleza kwenye mapenzi, kuna makubaliano na kukubaliana na hali tu.
 
Hivi kweli Bia we hujui!
Mlikuwa mnawasiliana mara ngapi kwa siku?
Mlikuwa mnatoka kwenda kweney starehe mara ngapi?
Mlikuwa mnatembeleana mara ngapi?

Kwa taarifa tu ni kuwa anajua ila anasubiri umlipe deni lake. Man kuwa na mademu wawili at a go inataka moyo sio mchezo.
 
ndo mana anatakiwa apruni mmoja.
 
Men men men!!!It's always like that,wen u reaches time ya kuoa,u left ur old gals...So bad,so painful..But let her face da truth..Usimpotezee muda.
 
Sababu hizi ndio maana zinafanya mademu nao wamipange kama perege ili wawachune tu
 
...jipe miaka mingine miwili na miezi minne utagundua yule wa mwanzo amekidhi "viwango" vyote,
la sivyo,...utajikuta unatafuta wa tatu!...

inshort, hakuna kiwango kinachojitosheleza kwenye mapenzi, kuna makubaliano na kukubaliana na hali tu.
Mpaka afikie hatua hii ya kuliweka hapa jamvini bia keshaamua kum-mwaga.
anachoomba ni modality ya kum-dump sio kupima wa mwanzo na wa sasa.
 
Men men men!!!It's always like that,wen u reaches time ya kuoa,u left ur old gals...So bad,so painful...
Right there!
It goes both ways.
You do me I do you!
 
Hamisha kila kitu ikiwa pamoja na hilo la kukopa kwa huyo mdada wa pili na hapo utahisi huna haja nae na kumwacha itakuwa rahisi.
 
Men men men!!!It's always like that,wen u reaches time ya kuoa,u left ur old gals...So bad,so painful..But let her face da truth..Usimpotezee muda.

It is natural, kila daraja lina chombo chake au siyo? Hata vyombo viendavyo space vikiingia anga jengine vinabadilika.
Iwapo wanaume tunaamuwa kutanuwa tu na msichana atabaki wa hivyo na tunapoamuwa kutafuta wa kuowa basi tutamtafuta wa hivyo.

Pengine siri moja nikupe! Wanaume huwa na wivu na wake zao na hupenda kujionyesha wawapo na wa kutanua. Sasa inapokuja hili la kubadilisha daraja la uke na urafiki wa kutanua mambo yanakuwa magumu kwa pane zote! Mara ooh! jamaa ana wivu siku hizi! Mara ooh hanitowio tena siku hizi! Mara anataka nivae kama nani!!! Malalamiko kibao
Kwa mwanamme sasa anakumbuka kuwa alipokuwa nawe ulishaonyesha karibu kila kitu kwa watu katika pozi za kwenda na wakati! Anakumbuka jinsi alivyokugombania na jamaa fulani na jamaa hajakata tamaa! Anakumbuka jinsi matumizi yasiyo ya lazima yalivyokuwa lazima kwake ili akuzuie usiende kwa fulani! Mambo kibao.
Dawa ya haya yote ni kutafuta yule ambae anahisi yuko mbali na yale aliyokutana nayo kwa yule wa kutanua tu!
 
kama uko so determined to break up with her despite everything you have been through together, basi vaa uso wa mbuzi and get straight with her... but be prepared to face the consequences

Ok sir i respect yo contribution,its real and am realy determined
 
Kweli nitasema sasa am in a sad mud ila lazima niseme
 
...jipe miaka mingine miwili na miezi minne utagundua yule wa mwanzo amekidhi "viwango" vyote,
la sivyo,...utajikuta unatafuta wa tatu!...

inshort, hakuna kiwango kinachojitosheleza kwenye mapenzi, kuna makubaliano na kukubaliana na hali tu.

Umenipa mtihani mgumu cna sasa nikijipa hyo miaka miwili je bdo niendelee nikiwahold wote au?na tamaa yangu ni kuwa na mmoja 2
 
Pls dnt remind me mangi,koz huenda nika2mia ubinadamu bdala ya kustick kwa m2 ambaye moyoni yupo mia kwa mia,ofkoz 2mefanya nae mengi ila maisha sa ingne hayana adabu cpati picha ikinitokea mimi bt its nature.
 
Men men men!!!It's always like that,wen u reaches time ya kuoa,u left ur old gals...So bad,so painful..But let her face da truth..Usimpotezee muda.

I ddnt intend dats wai am confused
 
Mpaka afikie hatua hii ya kuliweka hapa jamvini bia keshaamua kum-mwaga.
anachoomba ni modality ya kum-dump sio kupima wa mwanzo na wa sasa.

Kweli nasaka namna real
 
Umenipa mtihani mgumu cna sasa nikijipa hyo miaka miwili je bdo niendelee nikiwahold wote au?na tamaa yangu ni kuwa na mmoja 2
Ukitaka kumrudia wa mwanzo ongeza mwingine wa-tatu au wa-nne.
Hii itasaidia usikoncentrate kwa hao wengine wawili au watatu.
utakuwa una sex relation nao ila una relationship moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…