Nimwacheje msaada pls..

i wish God angeumba wanaume tu, kisha wakawekewa K kwenye mapaja yao basi.
kusingekuweko haya ya kupotezeana muda wala kuchokana, anayo imemganda kwenye paja akiichoka anaifunika kwa muda kisha atairudia mana hana pa kuipata pengine, hawezi kwenda kufunuwa kwenye paja la mwenzake loh!
we mwambie tu kwani alizaliwa kwa ajili yako? wanaume si wamejaa tele kila siku wanazaliwa, atapata mwengine wa kukuzidi wewe aendelee na maisha vizuri tu na atakusahau for ever.:embarassed2:
 
Umenipa mtihani mgumu cna sasa nikijipa hyo miaka miwili je bdo niendelee nikiwahold wote au?na tamaa yangu ni kuwa na mmoja 2

...nimekupa jibu...kwamba hata ukiwa hold wote wawili au bila wote...tatizo ni wewe.
hakuna kati ya hao wawili, au yeyote ajaye ambaye atakidhi viwango vyote unavyovitaka,
mapungufu ni lazima yatakuwepo.
 
Duh.. real no real Love nowdays, ... inauma sana tena sana... ial u have to tell her the truth... Kama yupo mbali anza kumbunguza mawasiliano na yy kama ni muelewa atagundua kuwa mapenzi yamepunguaso itakuwa rahisi wewe kumwambia ukweli na atakuelewa tu.Ila sio vizuri kuendelea kumpotezea muda.All the best.
 
Tandika kimoja halafu jidai umechoka mbaya ndio iwe desturi atajishtukia mwenyewe.Utaona uhusiano utakavyoanza kuwa
 
U are real a bad guy and i curse u til the day of judgment..eimen!
 
Dada najua umeumia as atakavyo umia,lakin pia mie naumia kwel,ila ndo hvyo dada angu dunia ina mitihan ming huu kwangu ni mgumu ila nitaufanya,matokeo siyajui
 
Shukrani kaka nitamweleza,ijapo kwel nimepunguza mawasiliano na analalama kweli kwa kunikumbusha 2likotoka bs hapo huwa nashndwa hata la kusema
 
Tandika kimoja halafu jidai umechoka mbaya ndio iwe desturi atajishtukia mwenyewe.Utaona uhusiano utakavyoanza kuwa

Kwa sa hv 2po mikoa tofauti kikaz kaka,so mawasiliano nimpigaji mzuri wa cmu
 
U are real a bad guy and i curse u til the day of judgment..eimen!

Kaka/dada pls dnt say ths words,there even bad guys thn me who dared 2 kneel b4 u and beg 4 yo help,i know its a mistake i cnt deny,ila kunilaani wewe hapa bdo kwake najua nitapata laana hzo hzo,pls withdraw yo words
 
Baadae atarudi amepata watatu mwenye vigezo vyote na nusu anaomba ushauri wa jinsi ya kumuacha wa pili! Yeye anajua kuwatongoza tu kuwaacha mpaka ashauriwe Jf. Amwache tu huyo bint aendelee na maisha yake na nakuombea huyo wa2 aje akutende mpaka ujute. Mkataa pema........
 
[FONT=comic
sans ms]Ila umempotezea muda sana mtoto wa watu, hivyo angalia sana
usije kuingia choo cha kike, yaani huyo umdhaniaye ndiye kumbe siye
ukawa umeruka maji na kukanyaga moto.
[/FONT]
Na ndivyo itakavyokuwa maana mwosha huoshwa. Acha akafunzwe jinsi ya kuheshimu hisia za watu.
 
Ni PM namba zake za simu ntakusaidia kumliwaza pale utakapokuwa umemuwacha na kwenda kwa wapili a.k.a mupya.
 
Dada najua umeumia as atakavyo umia,lakin pia mie naumia kwel,ila ndo hvyo dada angu dunia ina mitihan ming huu kwangu ni mgumu ila nitaufanya,matokeo siyajui

Tegemea SAP au DISCO kabisa, chezea mtihani wewe?
 
Dada najua umeumia as atakavyo umia,lakin pia mie naumia kwel,ila ndo hvyo dada angu dunia ina mitihan ming huu kwangu ni mgumu ila nitaufanya,matokeo siyajui

Tegemea SAP au DISCO kabisa, chezea mtihani wewe...
 
kweli wapendanao ni maaduiii zikitimia.....napita me
 
ushammega nini sasa unataka kumtosa mtoto wa watu? wanaume bwana, longolongo nyiiingi wakishatimiza malengo yao... vigezo ndio umevigundua leo, 4-5 years into the relationship?

Nashanga! limekaa kwa dada wa watu muda wote huo leo ndo anajisemea eti hana vigezo.....mijanaume ya namna hii ndo ile ile hata haijitambua ktk maisha yao ni kazi!!
 
Nashanga! limekaa kwa dada wa watu muda wote huo leo ndo anajisemea eti hana vigezo.....mijanaume ya namna hii ndo ile ile hata haijitambua ktk maisha yao ni kazi!!

dah, akina dada na nyinyi mna mitihani kwa kweli... hivi mtu akishakutenda hivi unaweza ukawa na mapenzi na mtu mwingine kweli au ndio inakuwa mambo ya kulipiza kisasi kwa yeyote anayejipendekeza?
 
mwambie hana sifa na tayari umeshaanza uhusiano na mwingine mwenye sifa.
 
Nia na dhamira unayo ya kumuacha basi uwe na kifua cha kumwambia ukweli. Umenikera sana ujue, hivi mtu upewe nini mpaka ujue unapendwa na anakujali hivyo kuwasiliana nawe nk.?? Maamuzi mema!!
 
dah, akina dada na nyinyi mna mitihani kwa kweli... hivi mtu akishakutenda hivi unaweza ukawa na mapenzi na mtu mwingine kweli au ndio inakuwa mambo ya kulipiza kisasi kwa yeyote anayejipendekeza?

Imagine anavyojieleza hapa kwamba dada wa watu anampenda kwa dhati tena kwenye shida na raha...hadi hela anamsaidia kitu ambacho mimi kumpa mwanaume hela siwezi kabisaaaaaa, na sio hilo tu mengi wamesaidiana, alafu leo anakuja eti kwa kigezo kwamba physically hana vigezo tena kwa 4 years ila huyu mpya ndo physically anaonekana kuwa na vigezo tena kwa kupimwa kwa 8 months tu!

hivi huyu dada anayeachwa kesho akukutana na mwanaume mwingine inafikiri anaweza kuendelea kufanya kwa ukamilifu yale yote mazuri aliyomfanyia huyu gaidi? tayari atakuwa na walakini na hofu ya kutoingia mzima mzima na huo ndo utakuwa mwanzo wa poor commitment....ukweli huyu kaka hajanifurahisha kabisa kweli hujakosewa popote, tena unashuhudia mema ila unatafuta sababu ya kumuacha huyu bint???kweli mkataa kwema pabaya panamfuata,!

kila la heri mwambie dada wa watu ukweli aanze maaisha yake kivyake ila UTAMKUMBUKA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…