Nimwacheje msaada pls..


Unanichapa haswa mkuu,na kweli ungeniona ungenipasua,cjajua ni nini ndugu nifanyeje bs nirudishe upendo uloyeyuka kwa huyu mdada wa kwanza maana ukweli hata mawasiliano nae yamepungua na huyu wa pili am so close to her,naomba usiwe mkali cna kwani mpaka naleta hapa nimekiri kosa nahitaji msaada c wa laana wala kunivunja vunja
 
huuu...nawashukuruni kwa maneno yenu yote yanachukulia positivly ili yanijenge kwa maisha yangu ya bdae,kuna maneno ya kutia moyo,kuuma,ku2kana,kudhihaki,kunilaani na ya kujenga,yote haya ni kwa ajili yangu kutafakari kwa kina,huku nikimshirikisha Mwenyez Mungu ktk maamuz yangu,kiukwel cjafanya haya maamuz nitatafakar na nakiri Mbele Ya Mwenyezi Mungu nimepungukiwa umakini na uelekeo wa Maisha yangu haswa ya Mahusiano Ee Mungu ninakuomba Msaada wako Amina Amina.
 
toka 2007 hadi leo hii 2012 unamtumia tuuuuuthen unataka umuache? kwanini umempotezea muda dada wa watu hivyo?

NB: Na nyie wadada plse msipende ktumika hivyo ...lol....., mpe sana sana mwaka 1 kama hakileweki chapa mwendo bana.....sasa ona huyu jamaaa hana hata aibu au huruma ....lol
 

dah, mrembo umefunguka kwa hisia kali sana hapa kiukweli na i am sure jamaa angetafakari kwa kina maneno uliyosema maybe angekuwa na second thoughts kuhusu uamuzi wake... hapo uliposema huwezi kumpa mwanaume hela, mbona unakuwa mgumu hivyo katika masuala ya kupigana tough? maisha ni kusaidiana ujue...
 
mijianaume mingine bwana!!! halafu mijitu kama wewe ndo badae huwa mnaaribu ndo za wapenzi wenu wa zamani kwa sababu zisizo za msingi kama hizi!maana yakisha wakuta mnakuja na mimachozi mnamwaga beseni linajaa eti hamkujua! pumbavu zenu wanaumw wote wenye tabia kama hizi! hivi unajua huyo mamaa mupya akuwazia nini, na wewe siku akikwambia huna nafsi tena moyoni mwake je, yaani sijui ukoje wewe!!! eti vigezo!!! wewe mwenyewe unavyo!!
 
mijianaume mingine bwana!!! halafu mijitu kama wewe ndo badae huwa mnaaribu ndoa za wapenzi wenu wa zamani kwa sababu zisizo za msingi kama hizi!maana yakisha wakuta mnakuja na mimachozi mnamwaga beseni linajaa eti hamkujua! pumbavu zenu wanaume wote wenye tabia kama hizi! hivi unajua huyo mamaa mupya anakuwazia nini, na wewe siku akikwambia huna nafasi tena moyoni mwake je, yaani sijui ukoje wewe!!! eti vigezo!!! wewe mwenyewe unavyo!!
 
Men men men!!!It's always like that,wen u reaches time ya kuoa,u left ur old gals...So bad,so painful..But let her face da truth..Usimpotezee muda.

Umeona ee?.unamvumilia mtu wee and at the end of the day ndo haya!ndo maana i dont judge wanawake who go after money at times cause ukikosa true love unabaki na hela,kuliko kukosa vyote mweh!..kaka,just tell the poor lady ukweli,and i truely pray that someday she finds someone who will appreciate her,body and soul!
 

we kaka hivi una moyo wewe? Yani miaka yote minne hamna ki2? Afu unafikiri kwamba wewe ndo umekamilika au? Huyo dada amekuvumilia kwa mangap? Au unahisi kwamba ALIBAHATIKA SANA KUA NA WEWE? Kwakweli wewe ni mharibifu na unastahili kupata pigo la maana, na dunia ikufunze kwamba hata wewe una kasoro TENA NYINGI TU.. Nenda kaenjoy na huyo mpya, ila usisahau kuja kutupa feedback.
 

Sio ubahili lakini mijanaume ndo ilivyo...unasaidiana nalo mwishoni linaishia kukutenda tu!nitasaidiana na mume wangu lakini sio boyfriend...., unajua unavyozidi kujitoa ndo hata maumivu yanaongezeka siku ya kutendwa...ila ukijifanya hujali wakati unajali hata siku ukiachwa huumii sana
 

hawa wenzetu wachache wanatuharibia big time.... ona sasa wote tunaonekana 'mijanaume', yaani kama midude fulani hivi... this is not fair
 
hawa wenzetu wachache wanatuharibia big time.... ona sasa wote tunaonekana 'mijanaume', yaani kama midude fulani hivi... this is not fair

Imagine this innocent girl, hata hajui kuwa gaidi anafikiria kumuosama huku yeye ndo kwaaaaaaaaaanza anazidisha mapenzi! kwa hali hii tukicheat tunaonekana wabaya kumbe ninyi ndo mnatufanya tuwe wasanii........hili ni gume gume kweli
 
Imagine this innocent girl, hata hajui kuwa gaidi anafikiria kumuosama huku yeye ndo kwaaaaaaaaaanza anazidisha mapenzi! kwa hali hii tukicheat tunaonekana wabaya kumbe ninyi ndo mnatufanya tuwe wasanii........hili ni gume gume kweli

aah, hapo wanaume kujitetea inakuwa ngumu kwa kweli, inabidi tu nikubaliane na wewe.... by the way, sipati picha ya reaction ya huyo binti siku atakaposhushiwa hilo 'bombshell'..... halafu unaweza kuta jamaa yuko so sadistic akalishusha siku ya 'valentine'....
 
Inabidi hapo uwe jasiri tu mzee ukitaka kumuua nyani huangalii usoni...Hata yeye pengine angepata mtu ambaye ana vigezo kukuzidi labda angekupiga chini.

Ila be careful usije kuingia mkenge halafu ukaoa unakaa miezi 3 unaona huyo wife sio unaanza kumtafuta huyu binti unamkuta tayari ana mtu.
 
Yeye angekufanyia hivyo ungejisikiaje???? Huna huruma wala hujui kuwajali wengine. Fikiria maumivu atakayopata. inaonekana wazi hata wewe huna VIGEZO. USIMWACHE. Hakuna aliyekamilika,
 
Ngumu kumeza kaka,
hapa kazi ngumu, hebu jaribu kutuwekea hivyo vigezo alivyokosa huyo mrembo inaweza ikawa njia sahihi nya kukusaidia, kulikon wa jf kukuandama.
Manake inawezekana unazo sababu za msingi kabisa za kumwaga, au sababu za kumwaga hazikidhi viwango, wadau wakakushauri ukamwacha huyo wa miez 8(km umri wa mimba) ukaendelea na huyo wa miaka 5 (mngezaa mtoto wakati mnaanza angekuwa chekechea/ std I)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…