Nin hatima ya ilboru

pottasium

Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
91
Reaction score
5
nin hatima ya ILBORU wadau katka jamv hil 2najua kuwa ilboru ni moja kat ya shule bora za serikal iliyokuwa ikifanya vzuri na kuongoza kitaifa na kutoa wanafunz waliokuwa wakiongoza kipind cha miaka ya 90 ila hal ilbadilika baada ya digital kwan kwa sasa shule znazofanya vzur ni za private swal linakuja je itakuwaje mana kwa sasa wanafunz wamesimamishwa masomo kwa mda usiojulkana wakat kidato cha 4 wamebakza siku 42 kufikia necta form 2 wiki 2 na kidato cha 6 siku 192 swal ni je itaweza kurndisha hadhi yake au itakuwa kat ya shule 10 za mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…