Nin umuhimu wa karafuu mwilini.

Msafiri Duke

Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
20
Reaction score
5
Karafuu ina umuhimu au madhara gani ikitumika kwa kuitafuna na kumeza. Watalam naombeni ufafanuzi.
 
Madokta wapo wengi ngoja tuwasubiri, naimani mzizimkavu ni mmoja wapo atakuja muda si mrefu.
 
Mdomoni karafuu yaweza kutumika kama mild antiseptic na deodoriser. Tumboni kama ni kidogo haina madhara isipokuwa kwenye mafigo. Kama una mazoea ya kila siku waweza kupata matatizo ya vijiwe kwenye mafigo.
 
matumizi ya kila siku kwa kiwango gani? hata kama ni kidogo tu yaweza kuleta madhara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…