nashukuru mkuu kwa ushauti bt ni mkoa gani mzuri kufanya hiyo kazi coz nipo moshi nowFanya design ya web, video, graphics itakulipa, tumia hiyo pesa kutafuta ofisi ya kuanzia na kujitangaza kibishara
Dogo usikate tamaa maana kuna wenzio hawana hata hicho kianzio. kuna jamaa wanasema Vicky Kamata ana taasisi inoyotoa mikopo kwa vijana, nasikia ukiwa na akiba ya 1M unaweza kopa hadi 4.5M na zawadi ya bajaji juu. Kama ni kweli kimbilia huko uongeze mtaji halafu uanze biashara ya maana lakini fanya utafiti wa maana kabisa.
nashukuru mkuu kwa ushauti bt ni mkoa gani mzuri kufanya hiyo kazi coz nipo moshi now
Sasa kama 1.5m hajajua afanyie nini, akikopa 4.5m atajua cha kufanyia kweli?
kaka nashukuru kwa kunifungua lakin hiyo tasisi sijaiskia huku mikoan ilas ntajitahidi kuitafuta kkDogo usikate tamaa maana kuna wenzio hawana hata hicho kianzio. kuna jamaa wanasema Vicky Kamata ana taasisi inoyotoa mikopo kwa vijana, nasikia ukiwa na akiba ya 1M unaweza kopa hadi 4.5M na zawadi ya bajaji juu. Kama ni kweli kimbilia huko uongeze mtaji halafu uanze biashara ya maana lakini fanya utafiti wa maana kabisa.
Fanya utafiti kuhusu biashara ya nguruwe pori kule morogoro wanalipa sana, ukitaka naweza kukuunganisha na jamaa mmoja anafanya hizo biasharamimi ni kijan anina umri wa miaka 22 nina kiasi hicho cha pesa mkononi naombeni kuuliza nifany biashara gani ili pesa yangu izalishe elimu yang ni diploma ya IT pia nina nina computer 2 zeny spesc kubwa pamoja na mashine moja ya kunyolea {wahl 300} mpya ujuzi mwingne graphics designer,web designer video producer.KAZI NILIYOKUWA NAFANYA KAMA IMEFIKIA MWISHO WAKUU SO CNA JINS TENA naombeni ushaur
Fanya utafiti kuhusu biashara ya nguruwe pori kule morogoro wanalipa sana, ukitaka naweza kukuunganisha na jamaa mmoja anafanya hizo biashara
nguruwe pori??
Fanya utafiti kuhusu biashara ya nguruwe pori kule morogoro wanalipa sana, ukitaka naweza kukuunganisha na jamaa mmoja anafanya hizo biashara
Na mi naomba uniunge na huyo jamaa tafadhali.
Huyu jamaa yupo morogoro na ili nikupe namba yake ni pm mana hapa siwezi, ni mdogo wangu yupo very handsome kama mimi hivyo wadada watamsumbua sana wakimwona whatsupp
Anaogopa kusumbuliwa kwani hana msimamo?