Nina 50,000 nifanye biashara gani?

Nina 50,000 nifanye biashara gani?

Nunua mchele wa vitumbua...utauza sana...
 
Kama una guts

Kusanya matunda kwenye beseni nunua vicontena na kisu
jioni pitia sehemu watu wanapofturu wakatie matunda

Punaweza kupitisha sehemu zilizochangamka mchana
 
Habari wakuu
Mimi Ni Mama wa nyumbani mkazi was uswahilini huku asilimia kubwa wakazi wa huku Wana vipato vya chini
Sasa Mimi Nina elfu 50 natak kufanya huku kwetu naomba mnisaidie ushauri
Ni biashara gn itafaa kutokana na mazingira niliyopo?!
Anza biashara ya maandazi au chapati tu.
 
damka asubuhi nenda karume ulizia wanapouza maziwa fresh chemsha asubuhi tia maji kidogo nunua kopo la kahawa na sukari pamoja na vikombe zungusha sehemu zilizochangamka
Asante
 
Asante lkn hiyo Ni biashara ya mwezi tu
Ramadhani ikiisha?!
Ikiisha utakuwa umekuza mtaji wako kidogo. Tumia vyombo vya nyumbani usikubali kuingia gharama ya kununua vyombo
Ni vile tu hali yangu sio nzuri ningeshauri uweke namba tukusaidie kukuchangia ukuze mtaji wako
 
Asee kwa mawazo ya watoa mada nimeamini kweli hamna mtaji mdogo,ukiangalia hizo Biashara walizoshauri wadau hapo huu ndio hizo Wazazi wetu wametulea wakizifanya.
Graduates mnao sema mitaji tatizo huu Uzi uwe fundisho.
 
Back
Top Bottom