Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Anza biashara ya maandazi au chapati tu.Habari wakuu
Mimi Ni Mama wa nyumbani mkazi was uswahilini huku asilimia kubwa wakazi wa huku Wana vipato vya chini
Sasa Mimi Nina elfu 50 natak kufanya huku kwetu naomba mnisaidie ushauri
Ni biashara gn itafaa kutokana na mazingira niliyopo?!
AsanteNunua mchele wa vitumbua...utauza sana....
Asante lkn hiyo Ni biashara ya mwezi tuUza futari jioni eneo lenye watu wengi
Asanteuza mtori kwa kuzungusha maeneo mbali-mbali.
Asantedamka asubuhi nenda karume ulizia wanapouza maziwa fresh chemsha asubuhi tia maji kidogo nunua kopo la kahawa na sukari pamoja na vikombe zungusha sehemu zilizochangamka
Yaani kumpenda mtu ni mpka akupe namba!!!! Ebo!Nimekupenda npe namba yako
Ikiisha utakuwa umekuza mtaji wako kidogo. Tumia vyombo vya nyumbani usikubali kuingia gharama ya kununua vyomboAsante lkn hiyo Ni biashara ya mwezi tu
Ramadhani ikiisha?!
Mh!KABETI TU
Du! Mzee inaonekana we ni mambo Safi sanaKABETI TU
AsanteUnga wa lishe