Habari wakuu
Mimi Ni Mama wa nyumbani mkazi was uswahilini huku asilimia kubwa wakazi wa huku Wana vipato vya chini
Sasa Mimi Nina elfu 50 natak kufanya huku kwetu naomba mnisaidie ushauri
Ni biashara gn itafaa kutokana na mazingira niliyopo?!
Nunua matikiti, ndizi na parachichi, kata kata vipande fungasha kwenye vile vifungashio vyako then zungusha mtaani! Na imani jioni ukirudi kufunga hesabu huwezi kukosa ya DONA/Sembe ya kulalia, Maisha yanasonga..
Habari wakuu
Mimi Ni Mama wa nyumbani mkazi was uswahilini huku asilimia kubwa wakazi wa huku Wana vipato vya chini
Sasa Mimi Nina elfu 50 nataka kufanya huku kwetu naomba mnisaidie ushauri
Ni biashara gani itafaa kutokana na mazingira niliyopo?!