Nina 5ml, nahitaji gari

Kaka Sam

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
540
Reaction score
78
Nahitaji iliyotumika na mtu yoyote hapa hapa tz. Iwe chini ya cc 1400. Iwe imetengenezwa kuanzia mwaka 2000. Iwe haijawai pata ajali.

Kama unayo ni-pm ili nikupe namba ya whatsup unitumie picha.
 
rangi yoyote ile ni poa tu.
 
utapata gari tu mkuu kuwa na subira ingawa watakuja hapa na maneno lukuki ya kukukatisha tamaa mil5 huwezi kukosa gari hapa mjini
 
naitaji iliyotumika na mtu yoyote hapa hapa tz. iwe chini ya cc 1400. iwe imetengenezwa kuanzia mwaka 2000. iwe haijawai pata ajali. kama unayo ni pm ili nikupe namba ya whatsup unitumie picha.

Ongeza milioni mbili ziwe 7 pata chuma cha uhakika
 
Aongeze kutoka wapi na ndo kishasema bajeti yake!

Nina maana yangu, kwa kiasi cha pesa aliyo nayo sina hakika kama atapata gari zuri, labda bovu ambalo gharama za uendeshaji na matengenezo zitamgharibu zaidi ya pesa alizonunulia
 
Fika sita nikupe statley glanza V iko vizuri sana, kama unaweza nipm nikutumie picha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nahitaji iliyotumika na mtu yoyote hapa hapa tz. Iwe chini ya cc 1400. Iwe imetengenezwa kuanzia mwaka 2000. Iwe haijawai pata ajali.

Kama unayo ni-pm ili nikupe namba ya whatsup unitumie picha.

Nitumie no yako ya watsap tufanye biashara kama utaridhika.
 
Njoo mwanza nkupe starlet safi ,nzr imetembea 90000km,wife anakwenda chuo kaamua kuiuza",,whatsapp 0755319097
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…