kaka,sasa sisi wenye show rooms tukale wapi???
Mkitaka jirekebisheni tutakuja....mnaiba spare..matairI yalokuja na gari mnatoa mnaweka ya bongo nani aje...yangu niliagiza one month tu nikaipata haisumbui na vifaa vyoote nilivikuta...na reasonable price...show room bei ghali...na ubora mdgo
Gari za SBT zinaonekana bei kubwa but ni gari nzuri. Hawa hii ni saite Yao tofauti na Bforeward ambao wao 3rd part site. Ni vema ukatafuta mtu ambae ni expart ws kuchek magari kwenye mtandao. Pia watz weng wanatapeliwa kwa sababu wanaangalia klm ni ngumu sana kupata gari ya chini ya klm 100000. Makampuni mengi saizi wanacheza na speedometer ili kushusha klm. Cha muhimu ni engine .
Tatizo ya showroom nyingi wanaleta magari ya bei rahisi na mengi ni mabovu, wanarepare kisha wanatuuzia kwa bei kubwa. Hii ni kwa sababu wanataka faida kubwa.
steve,tofali ni dada wala sio kaka,bora utumie tu mkuu kama hauna uhakika wa jinsi ya member!
Show Room majanga,mnapiga sana chenji-kota,usiku magari mnapigia deiwaka akipatikana tajiri mnashusha km!! Bei zenu pia zipo juu mnaweka faidi hadi 4m kwa gari hzi ndogo nasie mnatuua!!
hao ni wahuni tu na sio wafanyabiashara ila wenyenjaa,mfanya biashara wa ukweli hawezi kiufanya upuuzi huo kwani atapunguza uaminifu kwa wateja wake na mwisho wa siku watamkimbia
kaka,hata bandarini wanakwiba ingawaje sio kitu kzuri,ukiona show rooms inafanya upuuzi huo ujue hao hawajui biashara na wanatengeneza mazingira ya kukimbiwa na wateja wao,mie ya kwangu utakuta kila kitu kama ilivyoingizwa nchini,kwanza ikiwa na kila kitu ndio naiuza vizuri
teh teh teh,umejuaje kaka??,tangu lini mdada akawa ngoma ngumu akijiita tofali??,we umejuaje kama tofali ni mdada na si mkaka, tofali eeeeeh,njoo huku uthibitishe madai haya ya Deo Corleone nikutake radhi tafadhali
.hao ni wahuni tu na sio wafanyabiashara ila wenyenjaa,mfanya biashara wa ukweli hawezi kiufanya upuuzi huo kwani atapunguza uaminifu kwa wateja wake na mwisho wa siku watamkimbia
Ndio hivyo kaka....me ni mdada but very strong...not interms of kupigana lakini..na usidhani kwamba ni dume jike nope hahaha. .a true lady in kila kitu steveachi
Hapo sawa..na hao wanaofanya hivyo wanajiharibia biashara. .keep it up and all the best
.
Mkuu, showroom yako una kitu CAMI au Terrious? shemeji/wifi yako ananisumbua sana na hiyo makitu. Kama zipo waeza ntajia na bei zake?
Ahsanta.
Mkuu hizo brand sina ila nenda ktk mtandao wa ZoomTanzania nimeiona moja inakwenda Shs.6,500,000/=,ni Terrios na imetembea km 120,000,used in bongo na kwa muonekano wa nje ipo vizuri,ni vizuri ukaenda na fundi mzuri aic
heki kabla hujanegotiate nao bei,ni vigari fulani very economy mkuu na vigumu pia,peruzi hapa uione mkuu,http://www.zoomtanzania.com/ListingImages/070114012958IMG-20140107-WA0002FS.jpg,kila la kheri kaka
8.5 tufanye kazi good condition na unaweza pata namba C