venance7
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 558
- 1,645
Music video production ni moja ya plan zangu nilizopanga kuanzisha ndani ya mwaka huu,hadi sasa bajeti yangu ni hiyo milioni 85,hapo nyuma niliwahi kuwa na studio ndogo ya kushoot matukio kama harusi na graduation mbalimbali,hiyo pesa nimetoa ktk vyanzo vingine vya mapato, naomba kujua A_Z ya hiki kitu, changamoto na faida na Mambo ya kuzingatia.Karibuni