Nashukuru mkuu kwa mawazoMkuu kwanini usianzishe Electronic Entertainment Media.
Maana binafsi sioni kama Music Video Production inalipa.
Maana ni kazi inayotegemea sana Networking, Advanced Devices na Utaalamu binafsi wa Director.
Ndio maana John Kallage, Nisher, Adam Juma wote hawako sokoni.
Na sasa Video Director wanashindana Africa nzima.
So Jiandae Kupambana Na Kina CLARENCE PETERS, GODFATHER, NICK, DIRECTOR Q n.k
Na siku hizi wasanii wameanza kufungua kampuni zao za Video Productions. Ni Challenge nyingine pia
Walah huna hii hela uliyosemaMusic video production ni moja ya plan zangu nilizopanga kuanzisha ndani ya mwaka huu,hadi sasa bajeti yangu ni hiyo milioni 85,hapo nyuma niliwahi kuwa na studio ndogo ya kushoot matukio kama harusi na graduation mbalimbali,hiyo pesa nimetoa ktk vyanzo vingine vya mapato, naomba kujua A_Z ya hiki kitu, changamoto na faida na Mambo ya kuzingatia.Karibuni
Music video production ni moja ya plan zangu nilizopanga kuanzisha ndani ya mwaka huu,hadi sasa bajeti yangu ni hiyo milioni 85,hapo nyuma niliwahi kuwa na studio ndogo ya kushoot matukio kama harusi na graduation mbalimbali,hiyo pesa nimetoa ktk vyanzo vingine vya mapato, naomba kujua A_Z ya hiki kitu, changamoto na faida na Mambo ya kuzingatia.Karibuni
😁😁Radio station kwa hela hiyo mkuu?