inawezekana utotoni ulikuwa na wazazi 'abusive'
walikuwa wanakukosoa kila mara na kukufanya ujione unakosa hivi
kukosolewa sana inakufanya usijiamini na ndo chanzo cha aibu
huenda link hii inawweza kukupa lolote la kukusaidia:How to Overcome Shyness - wikiHow
hata mie nilikuwa hivo sijui imepoteaje ngoja nifikirie upate ufumbuzi
Hiyo mbona simple tu mkuu,piga kitu msuba a.k.a ganja aibu yote kwishneh!!
kwakweli kitu cha r-chuga charii yangu kiko furuuu aisee..mboyoyo zote kureeee