Nina alizeti nataka kukamua

Nina alizeti nataka kukamua

simbampole

Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
18
Reaction score
13
Nina alizeti kilo 10, nataka kukamua ma
IMG_20230624_121057_931.jpg
futa. Nielekezeni kwenye mashine iliyo karibu na hapa ninapoishi, Kibaha, Picha ya Ndege.
 
Duuuh! Ili nifike Matembele ya Pili kutoka Kibaha na kurudi inabidi nipande bus 6. Nauli si chini ya sh. elf 6!
 
Back
Top Bottom