simbampole Member Joined Jun 12, 2012 Posts 18 Reaction score 13 Apr 3, 2024 #1 Nina alizeti kilo 10, nataka kukamua mafuta. Nielekezeni kwenye mashine iliyo karibu na hapa ninapoishi, Kibaha, Picha ya Ndege.
Nina alizeti kilo 10, nataka kukamua mafuta. Nielekezeni kwenye mashine iliyo karibu na hapa ninapoishi, Kibaha, Picha ya Ndege.
S Stayfar JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 1,088 Reaction score 2,287 Apr 4, 2024 #2 simbampole said: Nina alizeti kilo 10, nataka kukamua maView attachment 2952824futa. Nielekezeni kwenye mashine iliyo karibu na hapa ninapoishi, Kibaha, Picha ya Ndege. Click to expand... Mikoa ya Pwani na Dar kupata mashine ya kukamua Alizeti ni ngumu sana.Kwa mfano Dar mi naifahamu moja tu ipo Kipunguni Matembele ya 2
simbampole said: Nina alizeti kilo 10, nataka kukamua maView attachment 2952824futa. Nielekezeni kwenye mashine iliyo karibu na hapa ninapoishi, Kibaha, Picha ya Ndege. Click to expand... Mikoa ya Pwani na Dar kupata mashine ya kukamua Alizeti ni ngumu sana.Kwa mfano Dar mi naifahamu moja tu ipo Kipunguni Matembele ya 2
simbampole Member Joined Jun 12, 2012 Posts 18 Reaction score 13 Apr 4, 2024 Thread starter #3 Duuuh! Ili nifike Matembele ya Pili kutoka Kibaha na kurudi inabidi nipande bus 6. Nauli si chini ya sh. elf 6!
Duuuh! Ili nifike Matembele ya Pili kutoka Kibaha na kurudi inabidi nipande bus 6. Nauli si chini ya sh. elf 6!