Nina ardhi Serengeti, natafuta watu wa kuingia nao Ubia

Nyakarungu

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2011
Posts
472
Reaction score
377
Ninazo Hekta takribani 100 huko serengeti jirani kabisa na eneo la mwekezaji yule mwenye singita (sasakwa) hotel na ile ya bilila (hotel kubwa tz) eneo lafaa kujenga hotel au kituo cha utalii na maonyesho kamli ya sanaa na vitu kama hivyo. eneo liko kwenye mwinuko na ardhi yenye rutuba inastawi kila aina ya mmea, kunafaa kujengwa pia chuo cha mafunzo ya utalii maana international airport ndio inajengwa kwa sasa hapo serengeti -MUGUMU, anagalizo eneo hilo siuzi bali natafuta watu wa kuingia nao ubia.... 0755023503 / 0714981568
 
Nadhani siasa za usaliti hailipi sasa umeamua kukata silesi maisha yasonge..Tulikutabiria haya.URITHI WA WATOTO UNATAKA KUFUJA UMPE ZITTO ELA YA KUSAMBAZA CD
 
Mkuu dalai mbona una hasira sana mkuu?
kuna life ingine nje ya siasa na siasa kwa wakati wa siasa na uchumi wa kijasiliamali wakati wake
 
Vp! Kwenye hilo eneo Tembo huwa wanafika?

mkuu tembo huwa wanafika na tunaishi ao tu kama mbwa na mbuzi wala hawana madhara kwa binadamu tuliowazoea maana twajua namna ya kuwatreat na hawatufanyi lolote, ila madhara yao ni kwenye mashamba tu ndio maana twataka sasa tujenge majengo ya utalii kabisa badala ya kulima maboga wanayoyala
 
eti wewe ndio mwenye Richmond?
 
Ninazo Hekta takribani 100 huko serengeti jirani kabisa na eneo la mwekezaji yule mwenye singita (sasakwa) hotel na ile ya bilila (hotel kubwa tz) eneo lafaa kujenga hotel au kituo cha utalii na maonyesho kamli ya sanaa na vitu kama hivyo. eneo liko kwenye mwinuko na ardhi yenye rutuba inastawi kila aina ya mmea, kunafaa kujengwa pia chuo cha mafunzo ya utalii maana international airport ndio inajengwa kwa sasa hapo serengeti -MUGUMU, anagalizo eneo hilo siuzi bali natafuta watu wa kuingia nao ubia.... 0755023503 / 0714981568

Niuzie eneo hilo ww, ubia kitu gan ?? PM kama vp.
 
Tehe tehe, taja na eneo lenyewe, ni Nata au wapi na halifai kwa Kilimo? make Kilimo ndo mpango mzima
 
Team Zitto Kabwe imeanza kufilisika....
 
Vipi Tittle deed ipo?
Maana najua muwekezaji akiingia tu serikali inanyakua
Je usalama wa eneo hilo upoje.
 
Ninazo Hekta takribani 100 huko serengeti jirani kabisa na eneo la mwekezaji yule mwenye singita (sasakwa) hotel na ile ya bilila (hotel kubwa tz) eneo lafaa kujenga hotel au kituo cha utalii na maonyesho kamli ya sanaa na vitu kama hivyo. eneo liko kwenye mwinuko na ardhi yenye rutuba inastawi kila aina ya mmea, kunafaa kujengwa pia chuo cha mafunzo ya utalii maana international airport ndio inajengwa kwa sasa hapo serengeti -MUGUMU, anagalizo eneo hilo siuzi bali natafuta watu wa kuingia nao ubia.... 0755023503 / 0714981568

bilila ndo hotel kubwa kuliko zote tz? are you sure? btw, kwa sasa inaitwa four seasons safari lodge!

nasikia muheshimiwa dokta ana mkono wake pale!!
 
Ninazo Hekta takribani 100 huko serengeti jirani kabisa na eneo la mwekezaji yule mwenye singita (sasakwa) hotel na ile ya bilila (hotel kubwa tz) eneo lafaa kujenga hotel au kituo cha utalii na maonyesho kamli ya sanaa na vitu kama hivyo. eneo liko kwenye mwinuko na ardhi yenye rutuba inastawi kila aina ya mmea, kunafaa kujengwa pia chuo cha mafunzo ya utalii maana international airport ndio inajengwa kwa sasa hapo serengeti -MUGUMU, anagalizo eneo hilo siuzi bali natafuta watu wa kuingia nao ubia.... 0755023503 / 0714981568

msimsikilize huyu msaliti mnaeza mkaingia ubia akasaliti history inakuhukumu sasa
 
Nadhani siasa za usaliti hailipi sasa umeamua kukata silesi maisha yasonge..Tulikutabiria haya.URITHI WA WATOTO UNATAKA KUFUJA UMPE ZITTO ELA YA KUSAMBAZA CD

hahaha kumbe unatafutwa mtaji wa cd apa hahaha wasaliti wamefilisika maskin huyu anataka kuweka reheni urithi wa watoto kisa MM
 
Inaelekea wewe ni mwanasiasa unayem support Zitto kisiasa! Tafakari vita uliyoiingia ni ndefu na ngumu sana.

eti wewe ndio mwenye Richmond?

#

Back
Top Bottom