Nyakarungu
JF-Expert Member
- May 1, 2011
- 472
- 377
kutoka wapi?Vp! Kwenye hilo eneo Tembo huwa wanafika?
Vp! Kwenye hilo eneo Tembo huwa wanafika?
mkuu tembo huwa wanafika na tunaishi ao tu kama mbwa na mbuzi wala hawana madhara kwa binadamu tuliowazoea maana twajua namna ya kuwatreat na hawatufanyi lolote, ila madhara yao ni kwenye mashamba tu ndio maana twataka sasa tujenge majengo ya utalii kabisa badala ya kulima maboga wanayoyala
Ninazo Hekta takribani 100 huko serengeti jirani kabisa na eneo la mwekezaji yule mwenye singita (sasakwa) hotel na ile ya bilila (hotel kubwa tz) eneo lafaa kujenga hotel au kituo cha utalii na maonyesho kamli ya sanaa na vitu kama hivyo. eneo liko kwenye mwinuko na ardhi yenye rutuba inastawi kila aina ya mmea, kunafaa kujengwa pia chuo cha mafunzo ya utalii maana international airport ndio inajengwa kwa sasa hapo serengeti -MUGUMU, anagalizo eneo hilo siuzi bali natafuta watu wa kuingia nao ubia.... 0755023503 / 0714981568
vipi kwani ww kinanVp! Kwenye hilo eneo Tembo huwa wanafika?

Nadhani siasa za usaliti hailipi sasa umeamua kukata silesi maisha yasonge..Tulikutabiria haya.URITHI WA WATOTO UNATAKA KUFUJA UMPE ZITTO ELA YA KUSAMBAZA CD
eti wewe ndio mwenye Richmond?
#Nadhani siasa za usaliti hailipi sasa umeamua kukata silesi maisha yasonge..Tulikutabiria haya.URITHI WA WATOTO UNATAKA KUFUJA UMPE ZITTO ELA YA KUSAMBAZA CD
#Mkuu dalai mbona una hasira sana mkuu?
kuna life ingine nje ya siasa na siasa kwa wakati wa siasa na uchumi wa kijasiliamali wakati wake
#Team Zitto Kabwe imeanza kufilisika....
msimsikilize huyu msaliti mnaeza mkaingia ubia akasaliti history inakuhukumu sasa