Nina Bahati ya Kupendwa na Wanyama?

Sogea ngorongoro one day, palee Kuna Simba wakarimu kinoma nenda kajaribu kuwasogelea inawezekana ukawa na kipawa Cha wanyama wewe
Haahaha Nimepeenda ulivyo state yaani naimagine kwa ile sauti ya mtafsiri wa Filamu ya Yesu!
 
Chunga sana mazoea na mbwa!... hasa kuingia nae ndani!

Iko siku utamfanyia hivi


Na yeye bila hiyana...atachomeka! Tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…