Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 306
- 706
Wote tunaelewa Kariakoo ndio centre kubwa ya biashara jijini Dar es Salaam.
Kodi ya fremu isizidi Tsh 4,000,000 kwa mwaka, je ni maeneo gani tofauti na Kariakoo.
1: Yana movement kubwa ya watu
2: Yana sifa ya kuwa centre
3: Soko la wateja wenye aina tofauti ya kipato (high, mid, low)
Karibuni.