Nina bajeti ya Tsh.4,000,000 kwa ajili ya kodi ya mwaka, eneo gani limechangamka kibiashara tofauti na Kariakoo?

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
306
Reaction score
706
Wote tunaelewa Kariakoo ndio centre kubwa ya biashara jijini Dar es Salaam.

Kodi ya fremu isizidi Tsh 4,000,000 kwa mwaka, je ni maeneo gani tofauti na Kariakoo.

1: Yana movement kubwa ya watu

2: Yana sifa ya kuwa centre

3: Soko la wateja wenye aina tofauti ya kipato (high, mid, low)

Karibuni.
 
Kama unazungumzia Centre baada ya Kariakoo
1)Mbagala rangitatu
2)Tandika

Hakuna pengine zaidi ya hapo...kwa mbagala niliulizia juzijuzi tu kodi Frem za ndani nikimaanisha zile ambazo azipo Centre kabisa bei ni 200,000-150,000 Tzs za Centre kabisa sikuulizia ila zidisha hapo.
 
Appreciate brother, kuna watu wanasifia pia mwenge..vp mwenge..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…