Nina bejet ya laki tatu na nusu (350K) natafuta simu ya Redmi 12 yenye Gb 128 storage

Nina bejet ya laki tatu na nusu (350K) natafuta simu ya Redmi 12 yenye Gb 128 storage

Hammy H

New Member
Joined
May 14, 2023
Posts
4
Reaction score
2
Habari wana JF Members,

Nna bajet ya laki tatu na Nusu, nafikiria kutafuta simu ya Redmi 12 yenye Gb 128 storage.

Gb 8 RAM au naweza kupata Samsung kali yenye sifa hzo yaani ( gb 128 storage, 8 Gb Ram na Camera nzurii) kwa bei hyo?

Naomba ushauri Wakuu
 
Hakuna redmi inayouzwa Kwa bei hiyo hata kama haitoi sautiiiiii ,sijui umeelewa
 
Back
Top Bottom