Habari wana JF Members,
Nna bajet ya laki tatu na Nusu, nafikiria kutafuta simu ya Redmi 12 yenye Gb 128 storage.
Gb 8 RAM au naweza kupata Samsung kali yenye sifa hzo yaani ( gb 128 storage, 8 Gb Ram na Camera nzurii) kwa bei hyo?
Naomba ushauri Wakuu