Wana JF Mimi ni mmoja kat ya wale 2liohitimu form 6 dic feb an nlikuwa natafuta tempo ya kufanya for sometym nkiwa hm ili nicje nkakaa idle,,basically me nina certificate ya A+(computer maintenance and repair) an i've a passion of working with cmpters..so plz wana JF if u need me or umeckia kuna mahali wanatoa tempo or kuna project za kufanya zenye maslahi naomba unisaidie ili hata na mimi niapply..thnx sana
Sina msaada wowote kwa sasa ila nimeona nisipite bila kukupongeza kwa kukataa kukaa iddle na pia kwa kupata hiyo certificate with an A. Congrats. Nikipata taarifa sitakosa kukujulisha.
Nadhani wadau hamjamuelewa dogo.Nilivyomuelewa ni kuwa amefanya certification ya IT,ni kama vile Kufanya mitihani ya Cisco au Microsoft, Yeye kafanya na kufaulu CompTIA A+ Certification.Hii sio kwamba kapata A nyingi A level au kusema ana div.One nini form six. Ni A+ Career certification in IT.Kwa hiyo ana basics za kutosha katika computer maintenance na support anataka sehemu akajishkezi apate fweza kidogo akipata pata na experience coz anaipenda IT. Wenye uwezo wa kumsaidia wamsaidie jamani.
Hongera kwa kufaulu.
Siku nyingine ukiomba kazi una-bold ujuzi ulio nao na sio matokeo. Cha pili, usitangulize maslahi kwa sasa. Nakushauri utangulize passion (hadi leo nikisaka kazi sisemi nna passion ya mahela, najisemelesha kuhusu passion yangu ya kujenga nchi utadhani mwana-TANU!)
Kila la heri.
If you real need a job. never use words like 'dic' instead of this, or 'nicje' as a replacement of nisije. Just to help you.Wana JF Mimi ni mmoja kat ya wale 2liohitimu form 6 dic feb an nlikuwa natafuta tempo ya kufanya for sometym nkiwa hm ili nicje nkakaa idle,,basically me nina certificate ya A+(computer maintenance and repair) an i've a passion of working with cmpters..so plz wana JF if u need me or umeckia kuna mahali wanatoa tempo or kuna project za kufanya zenye maslahi naomba unisaidie ili hata na mimi niapply..thnx sana
Nyie watoto mtakosa msaada kwa kuiga vitu vya ujinga. Hivi unadhani kila mtu afurahia huo uvivu wako wa kuandika maneno kwa ufasaha? If you need a job/help you must be serious my dear. Otherwise people will just ignore youdah thnx sana bro kwa kunsaidia hapa
Mkuu,aongeze vyeti au aongeze ujuzi?hivyo vyeti vipo vingi sana mtaani,ongeza vyeti kijana,kazi itakutafuta popote ulipo