Nina certificate naweza kuomba kusoma masters!

Nashukuru kwa ushauri mkuu, niafaufanyia kazi mara moja
 

Ni kweli mkuu hata certificate ndio maana naomba ushauri mkuu, nimeona naweza kumshauri ndivyo sivyo ikawa shida mbeleni lakini kwa jamii najua hakuna linaloshindikana, jamii ni kila kitu
 
aende Tumaini akiwa na ada kamili huwa hawaachi mtu wale.
 
mmmh my dear kiukweli hicho kitu hakipo awe mpole kama antaka soma kwelikweli aende diploma kwanza au kama amefanya vizur kwa chet bas aombe degree hebu ajaribu st. Augustine kuomba degree na vyuo vingne halaf aone bt asisahau diploma coz ndo uhakia upo saana
 
Dear nashukuru kwa ushauri mzuri, tutaufanyia kazi ili asichelewe kuomba kwa level ya diploma. Ubarikiwe dear
 
Dah sijawahi kuona! Kwanza akienda tu atatoroka mwenye bila hata kuaga,mkuu,HAIWEZEKANI!! Umenikumbusha mgosi wa kaya 1 degree to Phds.
 
Nini Masters bana Kampala univesty dar watakupokea usome phd kwa mwaka miwili tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…