Nina changamoto hii kwenye dell Inspiron 3576

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,117
Reaction score
1,403
Kuna yeyote aliyewahi solve hii changamoto

Laptop yangu aina dell inspiron 3576 Kila nikichomeka adapter haijazi battery inastuck hapo kwenye asilimia 0%

Msaada wanajamvi
 
Betri mbovu au kale kapin ndani ya plug ya adapter kameharibika au kukatika. Ile pin ndani kazi yake ni kuchaji betri ila ikikosekana PC itawaka tu bila kujichaji
 
Issue inaweza kuwa battery ama adapter, jaribu vyote.
 
Nina Dell Inspiron 15 ina tatizo kama hilo. Adapter na betri vyote ni vizima mkuu, wala usijisumbue kuvibadili. Ishi nazo tu kibishi.

Cha kufanya, ukiwa huitumii kompyuta, ikiwa imezimwa iache ichaji. Wakati mwingine itachaji kwa muda kisha itaacha. Ichomoe halafu baada ya muda ichomeke tena, itaendelea kuchaji. Ukiwa unaitumia inaweza ikachaji au isichaji.
 
Nimekuelewa mzee
 
Mkuu naomba tuwasiliane nimekuchek pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…